member

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Everything you held from the Member of Parliament or Executive Body just know it is planning like action Movies

    It is just series from the book of Regime(Government) kwa vyovyote ni propaganda za kuondoa watu attention zao. Watu wanapika Movies then we pay to watch it.
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania We member Marry Diana kama unataka msaada wa kipesa,kimawqzo,mtaji au mume mtafute tajiri wa kusini jamaa ni very gentleman

    Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naanda petition ya kumuondoa member anayeitwa Dennis Roberts na nyuzi zake zote zifutwe jamiiforums

    Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana, Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais Nyuzi zake zote...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama nisingempeleka Ulaya kutibiwa mngesikia huyu Member JF amefariki. Mwenzie alisema amekuja kwangu Akhera

    Mara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe nzuri wailetee sifa Tanzania. Nligundua mabolozi na diplomats wengi pamoja na mawaziri. Hawapati...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana humu member anayeitwa tajiri wa kusini ana pesa na roho mzuri wakuu

    Wakuu kusema ukweli nimetokea sana kumpenda Tajiri wa kusini jamoni wewe huyu mkaka nampenda sana jamani ana hela sana yaani kumsalimia tu na kumpa hi tu najikuta natumiwa pesa taslimu 2.5M wakati sijamuomba jamoni huyu ndiyo husband material kabisa Huyu jamaa sijui anafanya mishe gani sijui...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Member kajiunga jumatatu, jumatano ni senior member, howww?

    Kua senior au expert ni kigezo gani?
  7. Daby

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa member anayeitwa Perry

    Kwanza nakulaumu saana kwa ujinga ulioufanya. Nimeangalia ID yako umejiunga JF 2011 ikimaniisha wewe ni mtu mzima. I'm disappointed of you. Kosa mlililolifanya hasa wewe ni kutokusimama na dada yenu....haijalishi yeye ni mkubwa kwako lakini kiafrika mwanaume hasa wa age yako unatakiwa uwe...
  8. Hussie

    JamiiForums Tanzania Hellow! Mimi ni new member hapa

    Nawapenda
  9. W

    JamiiForums Tanzania hello... I'm a new member ungependa kuniambia nini

    karibu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Member Mkongwe ni Pascal Mayala

    Kwa sasa hivi Member Mkongwe ni Pascal Mayala amejiunga 2008 nikiwa namiaka 7
  11. Mme_Wangu

    JamiiForums Tanzania Habari I'm a new member!

    Natumain umzima wa afya mimi ni mgeni humu natumaini nipata ushirikiano na nitajifunza mambo mengi Kwa sasa nipo Dar es Salaam. Hari ya hewa ya Leo ni mvua na kibaridi Kwa mbaaari. Asante
  12. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    "JF member" na "senior member" ni maneno yanayotumika sana katika muktadha wa majadiliano ya mtandaoni, haswa kwenye jukwaa la JamiiForums (JF). Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: * JF Member: * Hii ni neno la jumla linalorejelea mtu yeyote aliyesajiliwa na anayeshiriki kwenye...
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

    ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much Bill Lugano aka...
  14. Mr Anova

    JamiiForums Tanzania Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Board Member 4 Vacancies

    BOARD MEMBER VACANCIES CRDB Bank Plc is a leading commercial bank in Tanzania. Established in 1996, the Bank has grown and prospered over the years to become the most innovative and trusted Bank in the country. The Bank attained an important milestone when it was listed on the Dar Es Salaam...
  16. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Napinga kwa nguvu zote baadhi ya member humu kuwaona walimu kama "special group"

    Kuna harakati nimezikuta toka najiunga jamii forum na bado zinaendelea kwa baadhi ya member kuwadharau na kuwakejeli walimu wa nchi hii Napinga kwa nguvu zote za kuwafanya walimu kama marginal group kwa kigezo cha mshahara na maisha kiujumla Nakataa unyanyasaji huu wa kifikra kwa walimu eti...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Prof Ngongo sasa ni Platinum Member

    Heshima sana wana jamvi. Napenda kuwajuza kwamba Ngongo sasa ni Platinum Member. Mnapojadiliana na Prof Ngongo heshima iwepo. Ngongo kwasasa Kizimkazi
  18. Brojust

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuwa platinum member wa JF. Hivi huwa wanaangalia aina za mada au ukongwe wa member, Hongereni sana platinum members sijaona kilaza kabisa.

    JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa. Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa. Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya...
  19. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

    Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi wake february akiuliza na kuomba ushauri kuhusu namna ya kukabiliana na hali ya kufikisha miaka 30...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
Back
Top Bottom