member

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Duh ! jina la huyu member siwezi kulisoma wala kuliandika .

    Hii imekaaje mods ? πŸ‘‡πŸ‘‡
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Dunia inaenda kasi sana!
  3. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

    Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni MsataπŸ˜‚β—πŸ˜‚β— Wallah nilipigwa kiboya Sana! Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea Shinyanga na angependa kufika Kilingeni Msata kwa ajili ya tiba za kiroho Tukawasiliana almost a week na...
  4. JamiiForums Tanzania Namtafuta Member Deception

    Happy Sunday Wakuu Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana Mwenye taarifa zake tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Member mwenzetu hatunae

    Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai. Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana. Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee. MARANGU MOSHI
  6. JamiiForums Tanzania Huyo aliyesema nimepewa uplatinum member kama pumbazo kaniudhi. Naagiza asipewe kadi ya sherehe.

    Hamjambo! Asidhani mimi nimkimya sana. Mwenzio nalinda hadhi yangu(in Aslay song's voice) mwambie ama zake ama zangu. Sisi tumetulia zetu. Tumekaa zetu. Tunaenjoy zetu. Tunapongezana zetu. Mtu mmoja anakuja huko anasema tunapewa uplatinum ili kupumbazwa. Kuchezewa viini macho. Kulishwa Unga...
  7. JamiiForums Tanzania ni muda muafaka nami jamii forum kunitunuku u platnum member.....

    leo nimeshuhudia kwa macho yangu mtibeli amepata u platnum member..nami nimesaidia wengi kwa michango yangu iliyo wazi...natanguliza shukrani.
  8. JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Bora ata hao Gymkhana, umasikini wako ndio utafanya ukakosa u-member, Hawa Yatch Club wanajiona special sana. Yaani membership hupati ata iweje.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama Alazwe mahala...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

    Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa; a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki...
  11. JamiiForums Tanzania MEMBER MPYA WA JF

    Kwa majina naitwa Msukuma mzaliwa wa Chato jirani kabisa na kwa hayati JPM pia ni mwanachama hai wa CHAMA CHA MAPINDUZI chini ya Mwenyekiti wetu Pendwa na raisi kipenzi cha Watanzania mama Samia Suluhu Hassan....Naomba mnipokeeπŸ™
  12. JamiiForums Tanzania Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto

    Members wa zamani wanakamsemo kao kakuona JF forum imepoteza mvuto ,kwa mada zilizopo sasa🀣🀣 Hahaha ngoja nifurahi kidogo nikishushia na funda la biaπŸ˜…. Nimekuwepo humu toka 2012, kwa mara yangu ya kwanza , ila nakuta members wa 2015 ana laumu mchango wa JF wa gen zπŸ˜…. Tofauti na...
  13. JamiiForums Tanzania Member Red-me unaendaleaje na harakati zako za kukataa totozi na kuweka rehani uanaume wako?

    Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni umuhimu wake. Hayo yakiendelea wadau mbalimbali walionekana kusikitishwa na bandiko lako kiasi cha...
  14. JamiiForums Tanzania Yupo wapi member johnthebaptist???

    Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake. Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST...
  15. O

    JamiiForums Tanzania sishangai watu maarufu kwenye jukwaa hasa hawa verified member kuwa chawa hawana tofauti na wasanii

    Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika. mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k Ni case study hawana namna . kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi ndie member wa jeiefu folamu mwenye nidhamu na utii kuliko wote

    Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu. Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi member wote humu tupime HIV nani atatoboa??

    Za jpili Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma Nawaza tu hivi aje dk kupima HIv humu Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† endelea kucheka kama. Mazuri Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa πŸ‡ͺπŸ‡Έ Lamal.... Nabii Msomi Pdidy2026
  18. JamiiForums Tanzania Mdada member mwenye shape ya agape

    Nilihisi Duniani Nimeona Vyote kumbe Nimeona Vingi Na Si Vyote,Kuna Mdada Humu JF Kaitisha Maandamano ya Hisia zangu Moyoni Juu Yake, Macho Yangu Yamemlasimisha Hakuna kama Yeye Ana Shape Namba F na Tabasamu La Mwaka Wa Mbele Na Hakika Wanaosema Hamisa Mobetto Ni Mrembo Hawajawahi Kumuona Yeye...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yanaendaje hapa

    Habari wana jf mimi ni mpwa mpya hapa jf. Maisha yanaendaje hapa
  20. JamiiForums Tanzania Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

    Wakuu habarini..? je ni member gani unaona ana trend sana ambae amejiunga mwezi wa 6 kunendelea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…