meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa data, meli ya HOEGH AURORA(vehicles carrier) ndio meli inayobeba magari mengi takribani magari 9100

    Let's say hii meli ndio imekuja bongo na mzigo wote inabidi ushuke Bandari ya Dar es salaam yaani TPA na mdau wake DP world watabaki Wanaumiza vichwa eneo la kupaki magari yote 9100 katika good condition na kuhakikisha hawachanganyi chochote kwa maana ya rekodi za vitabu na mzigo physically.
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga jifunzeni Kwa meli ya Titanic. Mungu huchukia maapizo.

    Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable) Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa. Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga sasa inashughulikia meli kubwa baada ya uwekezaji wa Tsh 429.1 Bilioni

    Tanga. Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania. Bandari hii...
  4. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Vifo vya ajali ya meli Congo vyafikia watu 78

    Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo, kabla ya kupinduka...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya Marekani imepata athari mbaya.Uchunguzi unaendelea

    Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo. Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Meli kupeperusha bendera ya nchi nyingine

    Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran na Uturuki kuunda meli ya kubebea droni kuzipiku meli za kubebea ndege za kivita za Marekani, Urusi na China

    Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35. Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Meli mbili za ufilipino na china zagongana Manila watajwa kuhusika

    Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China. Kulingana na vyombo vya habari vya Serikali ya Beijing, China inaishutumu Manila kwa kusababisha ajali hiyo kwa makusudi. Msemaji wa...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wahuthi wazifikia meli zinazowakimbia.Waanza kupiga ndani ya bahari ya Mediteranean

    Mashirika mengi makubwa ya kusafirisha mizigo zimeacha kutumia njia ya bahari ya mkato kupitia bahari nyekundu na Suez kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth walioahidi kuzipiga meli zinazoelekea au kutoka Israel wakiwa na lengo la kuwasaidia watu wa Gaza. Meli hizo imebidi zipite...
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa ni kama meli

    Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na mashirikiano mema Kati yetu raia pamoja na vyombo vya usalama wa baharini kwa sababu tukienda kinyume...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Huku meli ya kivita ya Eisenhower ikirudi nyumbani,Houth kwa kushirikiana na wenzao wa Iraq waipiga meli nyengine bila upinzani

    Meli ya kivita kubwa ya Marekani pamoja na kikundi chake inarudi nyumbani baada ya miezi 8 ya kupambana na HOuth ndani ya bahari ya Red Sea.Nafasi yake itachukuliwa na meli nyengine ya USS Theodore Roosevet Japo Houth wametangaza kuwa walifanikiwa kuijeruhi meli hiyo lakini wasemaji wa jeshi la...
  13. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Haya huko bara kwetu si ni kwa minyamwezi na mihuni, kulikoni mnajaza Meli hivi za Tanga na Dar.

    .
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ndege yapata ajali baharini offshore

    Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wote wahamishwa kutoka meli iliyopigwa na Houthi

    Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji. Awali baharia mmoja alipotea baada ya shambulio hilo wakati ambapo meli za kivita za Marekani zilijaribu kuzima moto...
  16. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

    Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Meli zinachukua zaidi ya wiki 3 kushusha mizigo

    Habari watanzania, Naomba kujua kama uwekezaji wa DP world bandari umeongeza speed ya ufanisi kazi au ndio kwanza mambo yamekuwa taratibu. Nime experinece kutoa container mbili. Meli nyingii sasa zinachukua zaidi ya wiki 3 naa mpaka kufunga na kushusha Mizigo. Wakati zamani ilikuwa ndani ya...
  18. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kenya na bus lao ambalo lipo kama meli

    MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari. HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu...
  19. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nilinusurika Kifo Baada ya Kuzama kwa Meli ya Titanic”

    ILIANZA nikiwatembelea wazazi na mjomba wangu wazee huko Jacksonville, Florida. Hii ilikuwa muda mfupi kabla ya mjomba wangu kufariki miezi michache iliyopita. Kama kawaida, tulienda kwenye Ibada ya Mashahidi wa Yehova siku ya Jumapili na kusikiliza hotuba iliyotolewa yenye Kichwa “Je...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Meli hujengwaje?

    Kuunda boat ndogo ni rahisi utengeneza body , unaweka injini na vifaa vingine vya elektroniki, na inaweza kwenda kwenye trela ili kusafirishwa popote. Mchakato wote unaweza kudumu kwa miezi kadhaa. Lakini vipi kuhusu jambo kubwa zaidi, tufanye meli ya mizigo yenye urefu wa zaidi ya mita 200...
Back
Top Bottom