Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN...
Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia usalama Sri Lanka, taifa la Mabudhist, au mnaopenda kuwatukana kwa kuwaita makafir licha ya kwamba...
Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia...
Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?
Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela?
Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
Gerson Msigwa amesahau kusema.
CJNG, maybe the biggest drug cartel in Mexico, cartel ya El Mencho aliyeuawa juzi,ndio Ile meli iliyokuwa yao .
El Salvador inafanya haya mambo kwa kupewa Intelligence reports na Marekani.
In brief, kama ndio kina Abdul, wapo ligi daraja la kwanza katika haya...
Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa.
Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ?
Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
Kituo cha Televisheni cha Taifa (UBC) kimemhoji Waziri wa Nchi, Masuala ya Vijana na Watoto, Balaam Barugahara Ateenyi, kuhusu tatizo la mtandao nchini Uganda. Waziri alieleza sababu za kufungwa kwa intaneti.
Waziri amesema kuwa awali, Kamisheni ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) ilifunga intaneti...
Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali kushiriki kama mwangalizi tu, vyanzo vyenye taarifa sahihi vimethibitisha kwa News24.
Ombi hilo...
1. Maisha ya Utumwa na Baharini
•Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za Charleston. Huko, alijifunza kila kitu kuhusu meli—jinsi ya kuziongoza, ramani za majini, na jinsi jeshi la...
Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa ikitokea Venezuela.
Hivi Russia ndio watu wa kulia lia hivi mitandaoni!?
Putin ampe nchi Medvedev...
Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa.
US wanadai...
Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen.
Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma.
=====
The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
Bandari ya Mombasa inakumbwa na msongamano usio wa kawaida wa meli, ambapo meli 28 zipo kwenye foleni huku idadi inayoongezeka ya wauzaji wa mizigo wakiamua kuhamisha huduma zao kutoka Bandari ya Dar es Salaam kutokana na msongamano na ucheleweshaji wa operesheni unaoendelea nchini Tanzania...
Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela
Akizungumza Ikulu ya White House siku ya Jumatano, Rais Donald Trump alisema meli hiyo ni kubwa kuliko zote zilizowahi kukamatwa.
Video iliyotolewa...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema.
Meli hizo...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
Wanaukumbi.
Flotilla iliyobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, ikiwa ni pamoja na mwanaharakati wa hali ya hewa wa Uswidi Greta Thunberg, wanatarajiwa kuondoka kutoka Barcelona Jumapili kujaribu "kuvunja kuzingirwa haramu kwa Gaza", waandaaji walisema.
Meli hizo zitaondoka katika mji wa...
Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.