Wanaukumbi.
This is an extremely serious incident for U.S. Navy.
It would mean hostile missiles or drones got past the carrier’s layered defenses (fighters, AEGIS ships, CIWS), showing potential gaps in U.S. naval protection.
A group like the Houthis forcing a $13 billion carrier into hard...
Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu.
Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo...
Yapata miaka 113 toka meli hii ya Titanic ilipozama katika bahari ya Atlantic ikiwa katika safari yake ya kwanza ikitokea Southampton kuelekea New york baada ya kugonda iceberg na kuzama huku ikisababisha vifo vinavgokadiliwa kuwa zaida ya 1500 . Mengi yameongelewa juu ya meli hii na ajari yake...
'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi.
Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya shambulio la anga la Marekani na kudai lililenga wanamgambo wanaojiandaa kwa shambulio. "Hawa Houthi...
Yes the man is Smart
Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R)
Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema Marekani na Israel zimechanganyikiwa baada ya kuona nchi za kiarabu zikiungana dhidi yao,
Tamko hilo amelitoa baada ya wanajeshi wa Houth kuzishambulia meli za kivita zinazoongozwa na meli ya USS Harry Truman ikiwa ni siku moja tu tangu Donalda Trump atoe...
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako...
Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa Bandari Ferdinand Nyath, amesema meli hiyo imewasili...
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo kimya?
MAELEZO YA KAMPUNI YA MELI...
Kuna taarifa ya kuwa Meli ya MV. Victoria imesitisha kufanya safari kwa takribani wiki mbili sasa, hiyo ni baada ya kupata hitilafu kwenye mfumo wa uendeshaji lakini mamlaka inayohusika ya Tanzania Shipping Company Ltd (TASHICO) imekuwa kimya.
Ni kweli kuhusu taarifa hizi? Maana inadaiwa kuna...
Meli ni sawa na Dunia inayoelea majini mwaka mzima masaa 24 yenye watu zaidi ya elf 10 sawa na uwanja wa mpira na wote wanahitaji huduma za kila siku.
Kazi ndani ya meli za utalii (cruise ships) ni nyingi na zinahusisha maeneo mbalimbali ya utumishi, uendeshaji, na usimamizi wa meli. Baadhi ya...
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.
Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania?
Chinese exercises 150km from Sydney
Ikumbukwe kuwa...
Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024.
Pakua Samia App...
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa
Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na Italia waliofika na kutembelea hifadhi na fukwe ya kihistoria ya Kilwa Kisiwani.
Hii ni meli ya tatu...
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
Wanaukumbi.
⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader.
Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari:
“Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas na kupitia kwa ndugu zetu katika Usultani wa Oman, wafanyakazi wa meli ya Israel, ambao...
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa.
Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni...
Wakati meli ya Titanic inazama ilikua imembeba Billionare John Jacob Astor IV, Pesa aliyokua nayo alikua ana uwezo wa kujenga Meli zaidi ya 30 kama hiyo ya Titanic, Titanic ilijengwa kwa mwaka 1912 kwa $7.5 million ambayo kwa sasa ni sawa na $ 400 million ambayo ni sawa na Tsh...
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024.
Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO)na kueleza kuwa MV Serengeti ilisimama kufanya safari zake mwaka 2016 wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.