Kenya na bus lao ambalo lipo kama meli

SweetyCandy

JF-Expert Member
Sep 17, 2022
415
782
MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.

HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu anazo zake washauri mmeona kitu wenzenu wanavyowaza mbali??

HAdi raha
 
Attachments

  • Screenshot_20240526_133700_Facebook.jpg
    Screenshot_20240526_133700_Facebook.jpg
    521.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240526_133727_Facebook.jpg
    Screenshot_20240526_133727_Facebook.jpg
    305.1 KB · Views: 2
MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.

HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu anazo zake washauri mmeona kitu wenzenu wanavyowaza mbali??

HAdi raha
Umeandika lugha gani hii?
 
Hiyo inaitwa Splash Bus
Sio Kenya
Stop lying people
 
Kwa kweli hiyo ni hatua nzuri sana Kenya imepiga kiusafirishaji.
Kumbe basi Tanzania tunaweza kutumia Mabasi haya na kuyaacha Mafuriko Ya Jangwani na Sehemu mbalimbali yawe Kivutio.

Uwekwe utaratibu watu wanahama kwenye maeneo hayo lakini safari za kuunganisha mitaa na mitaa zinaendelea.
 
Basi hizi zipo kitambo hasa huko mashariki ya mbali, basi hizi hutembea barabarani na kwenye maji. Enzi za Castro wakyuba wengi walimodifai gari zao ziweze kutembea baharini ili watoroke nchi ya Kyuba na walifanikiwa.
 
MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.

HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu anazo zake washauri mmeona kitu wenzenu wanavyowaza mbali??

HAdi raha
Hilo bus labda wameagiza toka Germany

View: https://youtu.be/GQNZ5FLk09I?si=4itpq96vXsOexTOe
 
Basi hizi zipo kitambo hasa huko mashariki ya mbali, basi hizi hutembea barabarani na kwenye maji. Enzi za Castro wakyuba wengi walimodifai gari zao ziweze kutembea baharini ili watoroke nchi ya Kyuba na walifanikiwa.
ZInunuliwe hapa ili kwenye mafuriko ziweze kupita
 
Amphibious Vehicle hiyo nchi za ulaya zipo tangu miaka ya nyuma.

Miaka ya 2018 kuna mzungu alienda Mombasa na Jeep Panther ambayo inatembea kwenye maji(Amphibious vehicle) wakenya waliweka habari wiki nzima. Baadae yule mzungu alikuja Tanzania na hiyo gari alikuwa maeneo ya Sleep way
 
Back
Top Bottom