media

  1. Mawakili wanaotaka kutumia media kushinda kesi

    Let us name and shame them. Wapo baadhi ya mawakili wamekuwa mstari wa mbele kutumia media kwa kutaka kuinfluence maamuzi ya mahakama. Tuwakatae kwani watatufikisha zile zama za Asulubiwe Asulubiwe jambo ambalo litaathiri mifumo ya utoaji haki.
  2. S

    Unahitaji social media manager?

    Unahitaji social media manager? nitakuwa natengeneza simple poster kuweka posts kwenye account kusimamia akaunti na mengineyo Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  3. Pata elfu kumi kila siku kwa kuuza social media followers

    Ndio! Kuna website kama victoriaboost.shop zinazokuruhusu kununua followers kwa bei ya chini kabisa, kisha kuwauzia wateja kwa bei ya juu. Unapata faida papo hapo. Lakini unahitaji kujifunza JINSI ya kuifanya hii biashara kwa usahihi… Nitakupa mwongozo wa hatua kwa hatua: Jinsi ya kujiunga...
  4. Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  5. U

    Shughuli kali za ulinzi wa anga zaripotiwa karibu na makazi ya Kiongozi Mkuu Khamenei

    Ripoti kutoka vyombo vya habari vya Iran zinaeleza kuwa kumekuwa na shughuli kali za ulinzi wa anga karibu na Uwanja wa Pasteur jijini Tehran, eneo ambalo liko karibu na makazi rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, pamoja na ofisi ya rais. Shirika la habari la Tasnim...
  6. Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  7. Grok: Kuna Watanzania 21 Millioni kwenye social media

    Kwa mujibu wa AI ya Grok; Idadi ya Watanzania kwa Ujumla: Kulingana na sensa ya 2022, idadi ya Watanzania ilikuwa milioni 61.7, na inakadiriwa kuwa itaongezeka hadi milioni 77.9 ifikapo 2030, ikiwa na ongezeko la takriban watu milioni 1.6 kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa mnamo 2025, idadi ya...
  8. PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

    Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui. Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔 Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo? Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo...
  9. Uvivu Wa kutafuta maudhui kwa media zetu za mtandaoni utapoteza historia yetu Tanzania

    Picha: Pinterest Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako. Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia. Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
  10. CHAUMMA kuweni makini, John Mrema atahama na account za social media za chama

    John Mrema kahama na accounts za social media za CHADEMA na kuzibadili jina kuwa CHAUMA,siku akiondoka CHAUMA atazibadili tena majina,kuweni makini na huyu tapeli.
  11. Media zetu zipo kutupumbaza Watanzania maksudi, TCRA ratibu Vipindi vyenye tija

    Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari hapa Tanzania nimegundua ndo mipango mikakati wa kuwapumbaza Watanzania na kuwa Fanya masikio na akili zao yasikie mambo madogo ya kipuuzi Media za Tanzania Haiwezekani media zinatumia saa nzaidi ya 8 kuchambua Simba na Yanga kila siku, hivi mpira wenyewe...
  12. Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

    https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB Sikiza hiyo: Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao. Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
  13. Intellegent President Samia has experimented Pavlov theory on Kenyans Social media!

    For us intelligentsia community we are very happy to see how a disgrased people of certain nation swallowed a bait. Her excellency President of URT Dr Samia Suluhu Hassan has in a carefully calculated manner has proveked a wake up call to.. not one but all of East African Nations on how...
  14. Trending :Kurejeshwa kwa Martha Karua na muitikio wa media huru za Kenya

    Inaonekana Ujumbe Sahihi umefika kwa nyakati sahihi. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  15. Tetesi: John Mrema alijimikishia Chadema Media TV

    Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi. John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
  16. Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  17. Azam Media, ratiba za vipindi vyenu haiendani na mnachoonyesha

    Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja. Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu? Nimekaa hapa lisaa zima...
  18. S

    Mbinu za kujificha mtandaoni na kwa social media

    Hizi ni mbinu za kuficha ID yako: 1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara Inaficha IP address yako halisi. Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi. VPN nzuri: NordVPN, ProtonVPN, ExpressVPN. 2. Tumia Browser ya TOR Huficha utambulisho wako kwa kuzungusha mawasiliano yako...
  19. Media ni platforms ambayo inaweza kukuza ama kubomoa na kuleta majanga

    Sasa Hivi SAJENTI anaomba kukutanishwa Na PATENI, Hata kama walikuwa na kutoelewana ila kwa namna moja ama nyingine Media zinachochea ugomvi wa hawa madogo. Hawana experience ya kuhojiwa kila watakachoulizwa hata kma ni chonganishi wanajibu bila kufikiria swali lina maanisha nini.
  20. TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…