Unamsema KimbatalaLet us name and shame them.
Wapo baadhi ya mawakili wamekuwa mstari wa mbele kutumia media kwa kutaka kuinfkuence maamuzi ya mahakama.
Tuwakatae kwani watatufikisha zile zama za Asulubiwe Asulubiwe jambo ambalo litaathiri mifumo ya utoaji haki.
Suala la pilato na mahakama zetu hakuna mfananoPilato alitoa hukumu baada ya kelele za wayahudi japo hakutaka hukumu iwe vile
Anza wewe kumtajaLet us name and shame them.
Wapo baadhi ya mawakili wamekuwa mstari wa mbele kutumia media kwa kutaka kuinfluence maamuzi ya mahakama.
Tuwakatae kwani watatufikisha zile zama za Asulubiwe Asulubiwe jambo ambalo litaathiri mifumo ya utoaji haki.