media

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Mainstream Media za Tanzania zimepuuza kuripoti suala la Anthony Mtaka kutangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA?

    Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??… Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??. Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Media Centre launches ‘Sauti Ya Uganda’, Sh100 million up for grabs

    the Uganda Media Centre (UMC) and the Ministry of ICT and National Guidance have initiated Sauti Ya Uganda (Voice of Uganda). This nationwide anthem contest offers a grand prize of Shs 100 million and encourages citizens to learn, interpret, and perform all three stanzas of the Uganda National...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi Warns Against 'Foreign Agents', Pledges Action on Corruption and Media

    Chief of Defence Forces (CDF), Gen. Muhoozi Kainerugaba has warned that the Uganda People's Defence Forces (UPDF) will not tolerate individuals he described as agents of foreign interests or anyone he said undermines Uganda's national security and development. Speaking on Tuesday during the...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

    Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama...
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ipp media Bw. Abdiel Mengi okoa jahazi

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga Kona(DSM) ambapo Bw. Abdiel Mengi alikuwa mmiliki wa studio na Civilian-Coin aligongewa beat na...
  6. JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga wa Clouds media okoa jahazi

    Kuna Kila sababu mkurugenzi wa Clouds media Bwana Kusaga kumuokoa Civilian-Coin kwa kuinua Ngoma zake katika station zake. For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Katika hali ya kawaida ikimpendeza Kusaga kufanya hivyo. Kumuokoa Msanii Civilian-Coin anayeishi wilayani...
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UPDATE: CDF Gen. Muhoozi Kainerugaba has met with the Nation Media Group leadership in Entebbe

    Uganda’s Chief of Defence Forces Gen. Muhoozi Kainerugaba met Nation Media Group leaders in Entebbe to discuss the shutdown of NTV Uganda, Daily Monitor, Spark TV, and KFM, with the post including a group photo from the meeting. The meeting at the Special Forces Command headquarters in Entebbe...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAR: Studio Furaha TV zinazomilikiwa na Mpwa wa Hayati Magufuli zavamiwa na Mabaunsa na watu wenye silaha

    Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa (bouncers) na watu wenye silaha. Uvamizi huo umesababisha uharibifu wa miundombinu ya kidijitali...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President William Ruto Fires Back at Standard Media Over Government Criticism

    President William Ruto ameonekana kujibu kwa ukali kile alichokitaja kama "continuous attacks" kutoka Standard Media Group kuhusu utendaji wa serikali yake. Kupitia ujumbe uliosambaa mtandaoni, Ruto alisema kuwa headlines za Standard ambazo zimekuwa zikiangazia changamoto za serikali yake ni...
  10. JamiiForums Tanzania October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Wanabodi, Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ambazo ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, swali ni Je sisi Media tutimize wajibu wetu kikamilifu kwa kuwaripoti viongozi hao wasema hovyo bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Media Guru Joel Isabirye Wins Bid to Set Up KCCA Radio

    Veteran media personality and communications expert Joel Isabirye has won the bid to establish and operate a radio station for Kampala Capital City Authority (KCCA), a project aimed at improving public communication and engagement with city residents. According to Nile post, The radio station...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa kiislamu katika media hawana propaganda

    Nimejifunza kitu ktk uchambuzi wa vita vya Iran vs Marekani vs Isreal. Waislam walioachambua vita hivi ndio wakichambulia hali halisi ya vita bila propaganda. Licha ya kutoinesha imani yao ktk uchambuzi, lkn walikuwa hawaegemei upande wowote ile Hatimae yaliochambuliwa kupitia media mbali mbali...
  13. JamiiForums Tanzania Online wars kwenye social media dhidi ya watu wa mataifa mbalimbali ni nyingi sana

    Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta...
  14. JamiiForums Tanzania Broadcast Media and Politics

    The Media Council of Kenya has unveiled plans to require journalists seeking elective office in the 2027 General Election to exit newsroom and broadcasting roles within set timelines, as part of new measures aimed at preventing unfair political advantage and protecting the integrity of the media.
  15. JamiiForums Tanzania Nimetazama mahojiano ya B12 na Adam nikagundua hali mbaya kifedha kwenye media pamoja na majuto

    Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo Clouds sio nzuri. Kuna tatizo kwenye malipo. Mishahara ni midogo. Adam kasema mishahara yao...
  16. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya, usirudi kwenye Media uchwara, tafadhali

    Tokea watangazaji maarufu wasimamishwe na bodi ya ithibati, masoud ameonyesha uwezo binafsi, Vipindi vyake vya sasa kupitia channel yake ya you tube ni vizuri vyenye mvuto kuliko alipokuwa clouds, Ana muda wa kutosha wa kutumia ubongo wake kujenga hoja na kujadili mada za msingi bula kubanwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  18. K

    JamiiForums Tanzania From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  19. JamiiForums Tanzania Viral News: AirPeace Faces Concerns Over The Rise Of Social Media Demarketing And Its Impact On Brand Perception

    AN OPEN LETTER TO ALL NIGERIANS: LET US PROTECT OUR NATIONAL PRIDE – AIRPEACE My dear fellow Nigerians, I write this not as a distant observer, but as a proud son of the soil, a patriotic Nigerian who has travelled the length and breadth of our great country and beyond, and as a loyal...
  20. JamiiForums Tanzania Zimbabwe Influencer Cash Giveaway Sparks Debate on Wealth, Inequality, and Social Media Culture

    A viral cash giveaway by Zimbabwean social media personality Tinotenda Tungwarara has sparked debate after she posted a video inviting the public to search for US$500 hidden around a major interchange in Harare. The money was reportedly split into five separate US$100 hiding spots, with clues...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…