Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
8,631
Reaction score
22,149
Naenda moja kwa moja kwenye lengo kuu.

Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo.

Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash.

Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba kutokana na kupiga mswaki kwa makelele na kugohoa.

Niko conscious sana na domo. Kuna jamaa angu huwa namuuliza kama nanuka mdomo ananiambia sinuki. Lakini bado nina mashaka.

Hii hofu ya kunuka mdomo na wakati domo halinuki inatoka wapi?

Halafu nani alianzisha haya mambo ya kunuka mdomo ndo yanatusumbua akili sana.

Sijui ni wale jamaa wa ile kanda wanaopiga miswaki kwa miti? wana harufu wale! Hee. Anyway tuyaache hayo.

Karibuni sana kwa maoni.
 
Hofu ipo Kama unatumia dawa za mia 3 ,kila ukila haupigi mswaki lazima unuke, Kuna wengine hunuka mpaka pua, unaweza fikiria ni mdomo kumbe ni chemba za pua zinatema, mengine ni ugonjwa tu hivyo wanapaswa kuitambua hali Yao na kumwona daktar.
 
Ah dawa zangu ni kubwa sana si za mchezo.

Na ukigundua kwamba sipendi kunuka mdomo utaelewa nanunua za bei gani.

Yaani niko makinii
 
BICHWA KOMWE -

Nimekusogezea na maelezo ya kushiba ya AI maana siku hizi tumerahisishiwa,little Sana kunaumiza vidole, hahaha

Soma hii👇

Watu wengi hudhani harufu mbaya ya kinywa (halitosis) inasababishwa na meno au ulimi pekee, lakini tumbo na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni vyanzo vikuu pia.
Hivi hapa ndivyo matatizo ya tumboni yanavyoweza kusababisha hali hiyo:
1. Kiungulia na Mcheuaji (GERD)
Hii ndiyo sababu ya kawaida zaidi. Wakati vali inayotenganisha tumbo na koo (esophagus) inapolegea, asidi ya tumboni na mabaki ya chakula kilichochanganyika na vimeng'enya hupanda juu kuelekea kooni.
* Matokeo: Harufu kali ya asidi au kitu kilichochachuka mdomoni.
2. Maambukizi ya Bakteria (H. Pylori)
Bakteria aina ya Helicobacter pylori, ambao husababisha vidonda vya tumbo, hutoa gesi fulani wanapovunja chakula na kuishi tumboni.
* Matokeo: Gesi hizi hupanda juu na kutoa harufu mbaya unapohema au kuzungumza.
3. Matatizo ya Ini na Figo
Ingawa viungo hivi viko mbali na mdomo, kazi yake ni kusafisha sumu mwilini. Ikiwa havifanyi kazi vizuri, sumu na kemikali hujijenga kwenye damu na kutolewa kupitia mapafu unapohema.
* Harufu ya Ini: Harufu kama ya udongo au kitu kilichooza (fetor hepaticus).
* Harufu ya Figo: Harufu kama ya mkojo au amonia.
4. Ukosefu wa Mizani ya Bakteria (Sibo)
Tumbo lina bakteria "wazuri" na "wabaya". Ikiwa bakteria wabaya watazidi (Small Intestinal Bacterial Overgrowth), huzalisha gesi nyingi za hydrogen na methane ambazo huingia kwenye mzunguko wa damu, kuelekea kwenye mapafu, na kisha kutoka nje kama harufu mbaya ya kinywa.
5. Chakula Kutoka taratibu (Constipation)
Ikiwa mfumo wako wa kusaga chakula ni mzito na unapata choo kwa shida, mabaki ya chakula huanza kutoa gesi za kioza ambazo hufyonzwa na mwili na kutokea kwenye pumzi.
Je, Utajuaje Kama Chanzo ni Tumbo?
Kuna dalili chache zinazoweza kukupa picha kuwa tatizo haliko kwenye meno:
* Unapiga mswaki vizuri na kutumia uzi (floss), lakini harufu inarudi baada ya muda mfupi sana.
* Una maumivu ya tumbo, kiungulia, au tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
* Ulimi wako unakuwa na utando mweupe au wa njano kwa nyuma kabisa.
Kidokezo: Ikiwa unahisi harufu hiyo inatokea zaidi "ndani ya koo" kuliko kwenye meno, ni vyema kumuona daktari wa magonjwa ya ndani (Gastroenterologist) ili aangalie mfumo wako wa mmeng'enyo.
 
Ahsante sana ila sidhani kama umenielewa.
 
Ah, hofu imenishinda bwashee.
Nimekuelewa vizuri sana kwa sababu hata Mimi nachukia harufu ya mtu anaenuka mdomo hivyo lazima na wewe ujishtukie , kuna wale wanakuja na tongotongo pembeni ya jicho ukimwona na wewe lazima usugue macho kuhofu tu au wale wanatoa mapovu pembeni ya mdomo wakati wa kuongea, lazima ukimwona na wewe ufute mdomo ,hiyo ni kawaida ya mtu anaezingatia u safi.
 
😂😂😂😂🙏🙏
 
Sizungumzii kunuka mdomo.

Nazungumzia HOFU YA KUNUKA MDOMO na wakati HAUNUKI MDOMO.

Twende na hayo maudhui.
Unanchosha kakaako kama umeamua kufanya content.

Kumbe unataka tucheze mchezo wa hide and seek(kombolela)?

Achana na hofu,Kama umeshalewa rudi home kulala,asubuhi mkere Tena mama mwenye nyumba kwa kupiga mswaki kwa sifa na kukohoa kama unatapika.
 
Unanchosha kakaako.

Kumbe unataka tucheze mchezo wa hide and seek(kombolela)?

Achana na hofu,Kama umeshalewa rudi home kulala,asubuhi mkere Tena mama mwenye nyumba kwa kupiga maswali kwa sifa na kukohoa kama unatapika.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Pole sana Kaka Mkubwa.

Wacha tuendelee kupiga miswaki 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom