Nataka tumtongoze huyu mchungaji aache kutusumbua

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,614
Si unajua bna binadamu tumeumbiwa mitihani? Nilikuwa na stress yangu moja hivi shost wangu mmoja akaniambia ana mchungaji wake flani twende tukaombewe

Kufika kwa mchungaji lazima utoe historia yako yote anzia familia, wapenzi au mume,eneo unaloishi,kazi,mshahara kila kitu.tukafunguka wee yaani kazi ya kutaja wapenzi uliotoka nao na historia zao sio mchezo just imagine una treni mbili .ikabidi tutaje tu wachache .tufanye tu sampling yaani ikabidi kila mkoa au nchi watajwe at least wawili wawakilishe wenzao.kazi ya kufukuza mapepo machafu na kurudisha nyota ikaanza ila sio rahisi lakini lazima itanguliwe na sadaka ya ukombozi maana swala la ukombozi sio rahisi hata Mwenyenzi Mungu kukomboa ulimwengu wake aliouumba kwa mkono wake aliukomboa kwa sadaka eti.
Tukadanga wee tukapata sadaka tukapeleka.tukapangiwa Sasa siku ya kuombewa na baba.

Siku ya kuombewa na baba ikafika tukaenda .akikuona tu anaanza kukuambia mambo yako eti. wewe flani ulishatembea na flani ,mama yako Yuko hivi .bahati nzuri au mbaya akachanganya cv.kumbuka tulienda wawili .wapenzi wangu anatajiwa Yule wa kwake naambiwa mie.nikakausha tu japo nilikuwa natamani kucheka maana shosti wangu nae kicheche alishagegedwa Hadi na baba mkwe wake.sio laana Ni Nini.?angeniambia mapema ningejua tu jinsi ya kumsaidia.huwezi kutoka na baba mkwe uwe ok hyo dhambi itakusumbua.ila sio kosa lake kivile kwanini alitoka na baba mkwe nitawaeleza siku ingine leo tuko na pasta.basi nikachambwa wee mi kimya tu maana hata baba mkwe mwenyewe sikuwa nae.

Sema nikawa naogopa maana nilishashtuka na Mimi Siri zangu zinafikishwa kwa shosti wangu ukizingatia kwenye list Kuna watu wake pia .ila nikaona sijaharibu kivile kama yeye na baba mkwe ?? No way
Nikaombewa toba,laana ikavunjwa,nikawekwa huru na kukaribishwa church pale.
Shost nae akaombewa madhambi yangu tukaondoka zetu

Nikamuambia best yangu Mungu yupo na Ni mwema Sana kwetu.ona alivojionesha kwetu.kwamba ukiwa na shida yeye peke yake ndo wa kukimbilia Hana agent duniani.tukakubaliana tuendelee na maisha yetu hakuna jipya duniani Kama Ni matatizo yetu tuishi nayo hivo hivo nothing is permanent .yataisha tu.na kweli bna tulipita .

Back to mchungaji.kumbuka tuliacha contact zetu.na anatujua a to z.
Mimi uchumi wangu haukuwa mzuri sana.ila mwenzangu yupo vizuri sio kidogo
Ana kila kitu sema tu ndoa yake ilikuwa na mushkel na mambo yake mengine tu ya biashara zake etc hakuna aliemkamilifu
Mchungaji huyu amekuwa akitutafuta kila mtu kwa wakati wake mwanzoni alikuwa anasema anatuombea sanaaa.anataka kujua tunaendeleaje hivo yaani.bila yeye tusingefanikiwa eti loh
From there anaomba hela sijui michango ya Nini .sisi kimyaa

Sasa hivi anaomba mkopo anataka kufungua biashara na mtoto anafungua shule Hana ada.
Naombeni ushauri tumalizaneje na huyu mtu wakuu?

Maana tumepanga tumuambie tukutane nae hotelini tupo wanawake watano yeye si kidume kinataka hela za wanawake.aje ashughulike apewe
 
Uamuzi wenu ni wa kishujaa na tunauunga mkono, ila sisi watu wa IT hua tunaamini kwenye kutest mitambo kabla kitu hakijaenda live, ilia kuangalia km kuna errors yoyote itatokea ziwe fixed b4 kwenda live...nanyi mnabidi mtest scenario yetu kujua km itafanikiwa ama la b4 hamjapiga tukio lenyewe. Na uzuri ni kwamba na vijana wa kufanya test tupo...Tutajitolea bureee kabisa.
 
Hao wanaojiita wachungaji km huyo bwana ni njaa tu zinawasumbua. Hakuna neno la Mungu linalohubiriwa hapo.
Unafikiri pesa apate wapi wakati ana familia?
Hiyo michezo ya kugonoka ndiyo michezo yao, mko wa 5 mbona atafurahi sana maana mitaji yao ni wanawake.
 
Si unajua bna binadamu tumeumbiwa mitihani?? Nilikuwa na stress yangu moja hivi shost wangu mmoja akaniambia ana mchungaji wake flani twende tukaombewe

Naombeni ushauri tumalizaneje na huyu mtu wakuu??
Maana tumepanga tumuambie tukutane nae hotelini tupo wanawake watano yeye si kidume kinataka hela za wanawake.aje ashughulike apewe
This is the worse idea ever....mwanaume rijali atawagegeda wote alafu yeye ana rest in peace akiwa juu ya mbususu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uamuzi wenu ni wa kishujaa na tunauunga mkono, ila sisi watu wa IT hua tunaamini kwenye kutest mitambo kabla kitu hakijaenda live, ilia kuangalia km kuna errors yoyote itatokea ziwe fixed b4 kwenda live...nanyi mnabidi mtest scenario yetu kujua km itafanikiwa ama la b4 hamjapiga tukio lenyewe. Na uzuri ni kwamba na vijana wa kufanya test tupo...Tutajitolea bureee kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hapo mzee uende na vumbi la congo plus viagra ndio utamudu game hilo
 
Hao wanaojiita wachungaji km huyo bwana ni njaa tu zinawasumbua. Hakuna neno la Mungu linalohubiriwa hapo.
Unafikiri pesa apate wapi wakati ana familia?
Hiyo michezo ya kugonoka ndiyo michezo yao, mko wa 5 mbona atafurahi sana maana mitaji yao ni wanawake.
Wana njaa kweli.atafute wajinga wenzie
 
Uamuzi wenu ni wa kishujaa na tunauunga mkono, ila sisi watu wa IT hua tunaamini kwenye kutest mitambo kabla kitu hakijaenda live, ilia kuangalia km kuna errors yoyote itatokea ziwe fixed b4 kwenda live...nanyi mnabidi mtest scenario yetu kujua km itafanikiwa ama la b4 hamjapiga tukio lenyewe. Na uzuri ni kwamba na vijana wa kufanya test tupo...Tutajitolea bureee kabisa.
Yamekuwa hayo??
 
Kwahiyo miss natafuta una nyege umekosa wa kuzitoa? au mnataka kumkomoa kuwa pesa haipatikani kirahisi kama anavyodhani?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom