Naona MC Pilipili amekuwa mchungaji

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana


Screenshot_20210530-133238.jpg
 
Watu mnawaza sadaka tu hamfikilii kuhusu huduma, inayoendeshwa
"Shambani mwa bwana mavuno ni mengi watendakazi ni wachache". Waacheni watu wakafanye kazi ya MUNGU aliyewaita, sizani kama kwa level aliyokuwepo kama alikuwa anakosa chochote alichokuwa akihitaji na laiti mngejua ugumu uliokatika utumishi sizan kama hata mgewaza hzo sadaka.
 
Back
Top Bottom