mchungaji msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

    Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa. Msigwa...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa alikataa milioni 500 na cheo toka kwa Hayati Magufuli japo ni ndugu yake, nilimshangaa sana

    Kipindi wimbi la wapinzani kuunga mkono juhudi,ilikuwa ni project moja ya kushangaza sana, Kulikuwa na dalili zote za wapinzani kununuliwa,unaitwa Ikulu unasomewa dhambi zako za kukwepa kodi TRA au dhambi nyingine unaambiwa uchague uunge mkono juhudi au kesho tukutane Kisutu RMC ,au tukufilisi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

    Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

    Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

    https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?! Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?! Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza CAG na nakubaliana na Mchungaji Msigwa Serikalini kuna Upigaji mkubwa kila mahali

    Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa? Ramadhan kareem! cc: Mchungaji Msigwa Chadema
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Mimi ni Mwenyekiti wa Kamati ya Lissu Home Coming, nimekatisha ziara ya Musoma kuja kusaidia Mapokezi!

    Mchungaji Msigwa amesema yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Kamati kuu ya Lissu Home Coming na yuko jijini DSM kushirikiana na Viongozi wa Kanda ya Pwani kuandaa Mapokezi. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu atawasili Jumatano saa 7:35 mchana. Mchungaji Msigwa amelazimika...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Hatuwezi kuwa na wachoyo wachache wanaoona ng'ombe wao na biashara zao muhimu kuliko Ngorongoro yenye maslahi ya Taifa

    Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa zamani wa Iringa mjini na waziri kivuli wa maliasili na utalii ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa amesema kuwa pamoja na Tofauti zao za kisiasa na kupishana kwa mambo kadhaa ya hapa na pale, jambo moja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Masanja amshukia mchungaji Msigwa wa CHADEMA kama tai, asema hata Cedrick aliwahi kujoke vita ya Iraq mbele ya Rais Bush

    Ngoma inogile kwa wachungaji wawili maarufu wa kanisa la Pentecoste. Mchungaji Msigwa ndio ameanza uchokozi kwa kumwambia mchungaji mwenzake yaani Masanja kwamba jana alitia aibu kwa aliyoyafanya mbele ya marais watano. Mchungaji Masanja naye akamjibu Msigwa huko huko twittani kwamba hata...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

    Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023. Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio...
  14. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya rais Samia siku 78 tangu ashike madaraka

    YALIYOJIRI LEO JUNI 5, 2021 DODOMA, WAKATI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA SERIKALI. Namshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kwangu na kuniteua kuwa Mkurugenzi wa Idara ya...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa na Joseph Mbilinyi wafungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga unyanyasaji Magerezani

    Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa. Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aomba michango kusaidia gharama za kesi ya Nyagali Mdude Mahakama Kuu Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya. Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa: Spika Ndugai alinishawishi nihamie CCM akidai ametumwa na Rais Magufuli

    My Take Mhimili unapogeuka kuwa dalali wa ubunge basi hatuna bunge, tuna mkusanyiko wa watu wanaounda kitu kinachofanana na bunge
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa ndiye mwanasiasa pekee aliyemtendea haki hayati Magufuli, hakujipendekeza kiunafiki japo ni Mwanafamilia

    Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka. Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa faini na wanafamilia bado mchungaji Msigwa alibakia kuwa mwanachama mtiifu wa Chadema. Nina imani...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Rais Magufuli huenda kanisani kama muumini au Rais?

    Haya Hapa
Back
Top Bottom