mchungaji msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama namuona Mchungaji Msigwa na Zitto Kabwe wanavyochekelea Chadema wakitifuana

    Wakuu mjumbe hauwawi,Msigwa anasema safari hii Mwamba kapatikana 😁😁😁👇👇 Mwamba wa ACT Wazalendo anawa zoom tuu 😂😂👇👇 https://x.com/zittokabwe/status/1867117457988636793?t=u2ZhhSonhiMhl-S92nDa8A&s=19
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: CCM inaongoza kwa utekelezaji wa Ilani barani Afrika

    Wakuu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini chama hicho na kukichagua mara zote. Msigwa amezungumza hayo akizungumza na wahabari Disemba 09, 2024.
  4. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aliusoma mchezo mapema juu ya siasa ya Tanzania

    Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi. Lengo la kuwa mwasiasa mwisho wa siku lazima upate fedha,au uweze kunufaika na hizo siasa, asikudanganye mtu,eti mimi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukosoaji kwa Serikali kunaiua CHADEMA

    Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msigwa awaita Mbowe na Lissu CCM

    Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani. Msigwa amesema, "CCM niwaombe radhi kwa maana nilikuwa mtata sana, ni kama yule kipofu Nilikuwa kipofu sasa naona, kama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, pengo la Mchungaji Msigwa limeonekana kwenye kampeni za Chadema? Na huko CCM je, Msigwa ame-add value ya Chama Tawala?!

    Nimeona hapa Iringa Masai mmoja anaongoza kampeni za Chadema kwa viwango vilivyotukuka na nyomi la kutosha kabisa na chenji inabaki Wadimi wa hapa Kihesa wameniambia anaitwa Sosopi Ametisha sana 😂😂
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchungaji Msigwa: Kama nilivyoshambulia CCM, naishambulia CHADEMA kwa sababu ni waongo. Tumeandamanisha watu, wengine wamekufa!

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali. Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni. Soma pia: Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima Msigwa amesema kuwa kama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa kama Kuna ubaya alikutendea Mbowe mimi Yohana namuombea Msamaha, Unamsema mno nawe ni Mchungaji wa kondoo!

    Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe akiachia madaraka haitaleta madhara kama Mchungaji Msigwa alivyoamia CCM?

    Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo. Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo. Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Unapokuwa Chawa hakikisha una fact, siyo tu kusema anaupiga mwingi

    Mchungaji msigwa alipokuwa akihojiwa na Ebony FM aliulizwa kama bado anawachukia machawa na majibu yake yalikuwa hivi.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa kwenda CCM ni moja kati ya 'usajili' mbaya kuwahi kufanywa na vyama vya siasa

    Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye. CCM wamemchukua Msigwa kama mtaji ndio maana anapewa airtime kwenye mikutano. Kiuhalisia sasa ni kwamba Mchungaji imani...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

    Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa amebeba taswira halisi ya Wapinzani wa Tanzania

    Fikiria jinsi Mchungaji Msigwa alivyoaminiwa na Chadema pamoja na Wanachama wote Kumbe ni Fursa ya Vyeo na kupata Fedha ndio ilimuweka Chadema lakini hakuwa na Mapenzi yoyote na kile Chama Mchungaji Msigwa alipokosa cheo na Fedha akajisalimisha Chama Dume faster Na hii ndio Tabia ya wapinzani...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future

    Oh Msigwa kuhamia ccm kajimaliza kisiasa, nonsense kabisa! Yaani siasa nchi hii lazima ufanyie CHADEMA, wewe ambaye hujaisha kisiasa unafanya nini! Kisiasa ukoje! Oh vijana msitoke CHADEMA mna future nzuri, uongo tu. Hao wanaowambia mnafuture wao wenyewe hawana future! Pia soma==>> Mchungaji...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

    Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania. Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

    Hofu imetanda CHADEMA tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon. Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyotokea kwa Tundu Lissu Mbeya kweli kulikuwa na mpango kuhamia CCM hivi karibuni kama Msigwa alivyokuwa anatuambia?

    Siasa tofauti na dini. Dini hata uteswe vipi, uhadiwe mabilioni ya shilingi hutakiwi ubadilike Nitaoa mifano yaliowakuta watu enzi za tawala za nyuma kabisa kwa mfano 1.Bilal ibn Rabah (RA): Alikuwa mtumwa wa kipagani wa Kikuraishi, Umayya ibn Khalaf. Alipokea mateso makubwa, ikiwemo kuwekwa...
Back
Top Bottom