mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima wa kutambulisha mchezaji mmoja mmoja au ni ulimbukeni tu.

    Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei. Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Luis Enrique na Antonio Conte ndio makocha Bora duniani kwa Sasa wanaoweza kumbadilisha mchezaji kutoka chini na kuwa bora sio Fahdu Davis

    Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye wachezaji wawili TU wanaojulikana sana Dembele na Hakeem. Wachezaji kama akina Vitinha alikuwepo...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum ; Hakuna mchezaji mwenye chenga na ufundi mwingi Ligi kuu bara kumzidi Pacome zouazoua, Hakuna mchezaji mwenye IQ kubwa kama Khalid aucho

    "Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  6. FK21

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye kipaji kikubwa sana pale Barcelona (most talented Barcelona player)

    huyu ataimbwa sana next season
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Eti club masikini inatakuinyang'anya mchezaji club tajiri

    Hapo vip! Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mchezaji bora chipukizi

    Kutoka Nchini Cameroon 🇨🇲, Mchezaji wa klabu ya Victoria United, Wilfried Nathan Douala ambaye ni Kiungo mwenye umri wa miaka 19, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa msimu huu Nchini Cameroon. Ikumbukwe kwamba Mchezaji huyo alikuwa miongoni mwa Wachezaji waliokuwa wakiunda kikosi cha...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mchezo wa leo utakuwa wa mwisho kwa Aziz Ki kama mchezaji wa Yanga

    Mchezo wa leo wa nusu fainali ya CRDB CUP, Kiungo Stephen Azizi Ki utakuwa mchezo wake wa mwisho ndani ya kikosi cha Yanga SC. Azizi Ki anaondoka Yanga SC baada ya mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania. Source: Nassib Mkomwa kupitia akaunti yake ya X zamani Twitter
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

    Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi! Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Khalid Aucho kwa Wanawake wa sasa utasubiri sana kwani hao Wanawake unaowataka hawapo tena na hawatakuwepo hata huko tuendako

    Kiungo mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho, ameweka wazi maisha yake binafsi kuwa hajaoa mpaka sasa, lakini anataka mwanamke ambaye atampenda kutoka moyoni na si kwa sababu ya pesa zake au umaarufu alionao. Akizungumza na Nipashe Digital, akiwa na kikosi cha timu yake mazoezini, Uwanja wa KMC...
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona shinikizo la kupeleka Mchezo Wa Maafande vs Mwamposa FC Uwanja Wa mkwakwani kubuma, Sasa Wanamsumbua mchezaji mwandamizi (Kona goli)

    Uwanja Wa Kambi ya jeshi unalindwa hakuna mtu(shabiki) anayeweza kwenda usiku kuuchimba chimba kama wafanyavyo kwenye viwanja Vingine. Hawa mabwana hawaishiwi mbinu, za ndani kabisa tena za moto kutoka kwenye vyanzo vyangu kuntu (sitomtaja) toka majuzi wanamtafuta mchezaji Wao captain Fantastic...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Swali: Je huyu ni mchezaji gani?

    Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi. Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa. Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar, Zidane, Beckham, Mbappe, Ronaldo de Lima, Kaka, Xavi na Iniesta? Weka jibu lako hapa…
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize Askofu BANGONZA; CCM ni Refa na ni Mchezaji

    Tumsikilize Askofu hapo chini ; Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ? - Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa. Tanzania Jeshi na Polisi kwenye...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeremy Monga aweka rekodi ya mchezaji mdogo wa pili kucheza EPL akiwa na miaka 15 tu

    Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL. Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya wadhamini ambao ni kampuni ya kamari ya BC Game. Monga mwenye miaka 15 aliingia dakika ya 74...
  16. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Okejepha sio mchezaji wa kukaa benchi alafu ngoma akaanza

    Nilishawaambia kocha wa simba Hanaga plan B ( rejea post zangu za nyuma. Yeye alipopata matokeo kipindi cha kwanza cha pili ni ngumu, hata sub zake huwa za mashaka sana akiwa hana matokeo. Mara nyingi sub ambazo anafanya ni zile zile hasa akipata matokeo kipindi cha kwanzo....atawapumzisha...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

    Niambie hapo unamtoa nani unamuingiza nani? Debora? Mzee wa Konyagi? Kitale? Mikwala? Ataiba? Mpanzi? Ifike hatua tuwe na heshima na Soka.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mchezo wa blue whale challenge ambapo mwisho mchezaji anapaswa kujiua

    Huyu binti anatwa Rina Palenkova na hii ni picha ya mwisho kuipandisha mtandaoni ikiambana na maneno Nyapoka. Nya inaaminisha Nyau ule mlio wa paka kwa Kijapani na Poka inamanisha kwaheri kwa Kirusi. Hii ilikuwa ni picha ya mwisho kabla ya kesho Rina kujirusha mbele ya train na kuuawa. Kifo...
  19. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mchezaji wa zamani, je ni nani?

    Lete majibu, huyu mwanasoka ni nani?
  20. Scars

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

    Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo. Hapa nilijua ni Drogber Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
Back
Top Bottom