mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wanajadili nani mchezaji bora wa muda wote kati ya Samata na Msuva

    Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON. Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata. Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani kwa Sasa unadhani hafai kuendelea kuichezea Yanga?

    Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao. 1. Baleke 2. Dube 3. Diarra 4. Aziz Ki 5. Nkane
  3. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mchezaji İlkay Gundogan kuhusu kadi nyekundu ya mapema ya mchezaji mwenzake Araujo

    "This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began. "I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mchezaji kucheza mechi za ushindani siku mfululizo

    Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM. Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam dhidi ya Yanga tarehe 2/11/2024, na game ilikuwa ngumu sana. Tarehe 3/11/2024, Nasor Saadun...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia hizi alizoonesha Aziz Ki kweli yeye bado ni mchezaji Professional?

    Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida. Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za kuitwa mchezaji Profesheno. Kwenye hii Clip ya kwanza inaonekana Ki anaongea na kocha msaidizi wa...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kiukweli huyu mchezaji wa soka zamani Alphonce Modest anahitaji msaada

    Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga. Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nani alistahili kushinda Mchezaji Bora wa Kiume Ballon d'or 2024?

    Wakuu, Tuzo za Ballon d’Or 2024 zimejumuisha vipaji bora vya soka duniani, na tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume imeenda kwa Rodri (27) wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa Rodri, ambaye amekuwa na msimu wa kipekee, akichangia mafanikio makubwa kwa...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga derby ya keshokutwa

    Namwona Dube katika ubora wake mpaka sasa Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika Derby ya keshokutwa All d best mwamba...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Wengi hawamjui mchezaji huyu!!

    Gen Z naombeni majibu huyu ni mchazaji gani?
  10. May Day

    JamiiForums Tanzania Mchezaji anayeisababishia timu yake kupata penati ihesabike kama assist.

    Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame assist.Haina maana Mtu apambane asababishe penati tatu kwa mfano alafu zote zipigwe na mwingine,sifa zote...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Deborah Fernandez Mavambo na Mchambuzi wa Michezo Wasafi FM Oscar Oscar hawana Undugu kweli kwa wanavyofanana?

    Jamaa wanafanana hadi balaa.
  12. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Bora wa mechi

    Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika?! Vipi akishatangazwa hivyo halafu akatolewa Kwa Kadi nyekundu kwa makosa ya nidhamu....ataendelea kuwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  14. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

    Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yaani ukifanya mchezo Yanga hata diara anakuweka...kila mchezaji mfungaji

    Yaaan huyu baba Gamondi sijui akikuwa wapi Yaan kilamchezaji anakuweka Ukisibiri aziza anakuja clementine Ukimkosa clementine shamaaa anakuweka Ukimbana shamaaa sengeli anakuweka Tunapoelekea tusishangae na Disrael akaa diara i akakuweka Yanga tamuu jamani
  16. D

    JamiiForums Tanzania Huyu Boka ni mchezaji au Bodaboda?

    Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo. Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi?? Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio bodaboda? 😂
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

    Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United. Chanzo: maulidkitenge Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa mchezaji wa Senegal Keita Baldé, baada ya kuacha kujichubua

    Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili. Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool kasimamishwa kucheza mpira kwa kiburi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Namuona Damas Ndumbaro jukwaani. Ila sijaona mchezaji mwenye uwezo binafsi kama Sanifu Lazaro Tingisha.

    Kimbiza , finya, mwaga jalo. Kwa ufupi hatuna timu na wachezaji kama miala ya ile.
Back
Top Bottom