mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF kufungia mchezaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga kisa utata wa jinsia ni hujuma kwa timu yetu

    Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
  3. mngony

    JamiiForums Tanzania Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Edmund John aliyesajiliwa Yanga ni mchezaji hatari sana, nimeumia kusajiliwa Yanga

    Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae nikaambiwa ni mbongo. Sipepesi macho, kwa sasa Tanzania ukimuondoa Kibbu Dennis, anayefuatia upande...
  8. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Mbona kama kapotea huyu mchezaji wa dunia, Ronaldinho Gaúcho

    MAISHA YA MSTAHAFU 😎 Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii. Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka kutoka mwanzo hadi mwisho. Alifanya makosa, lakini yalibaki kuwa sehemu ya safari yake. Alinyakua...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  12. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Feitoto ni mchezaji mzuri ila kwa sasa ni overrated

    Binafsi nimeanza kumfuatilia Feisal kama mchezaji tangu akiwa JKU, na kwa kipindi Fulani kama ilivyo kwa wanamichezo wengi ,"Zanzibar finest" aliwahi kuwa katika ubora wa maisha yake (prime period) na hii ilikuwa misimu yake mitatu ya mwisho Yanga na walau ule wakwanza akiwa na azam FC . Na...
  13. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

    Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika. Najiuliza,, Simba SC imekuwa na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Shabiki wa Simba adai App ya klabu imejam wakisubiri utambulisho wa mchezaji

    Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
  15. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Ronaldo ni mchezaji Bilionea, afikia utajiri wa Dola Bilioni Moja

    Mshindi mara tano wa Ballon d’Or Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa mpira wa miguu kufikia utajiri wa USD Bilioni kwa juhudi zake binafsi katika historia ya mchezo huu. Mwaka 2020, kulikuwa na taarifa mitandaoni zikidai kuwa Ronaldo alikuwa tayari amekuwa bilionea. Lakini ukweli ni...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna mchezaji anaitwa mousa cisse katika mechi ya CECAFA leo, bonge la mchezaji simba usajili huo

    https://youtu.be/8QcNer8ha9Y?t=95
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwambieni huyo Mchezaji wenu mpya mliyemsajili kwa mbwembwe asipende sana Kurembua na Kujiramba Mdomo kwani hii ni Tanzania

    Sasa hivi Timu zote duniani zinasajili Wachezaji na navutiwa mno na sajili za Timu yangu Bingwa ya Liverpool japo tumefiwa.
  20. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Lassine kouma ni Bonge la mchezaji,, Mo toa pesa boss tunataka huyu mchezaji,, ukishindwa kumleta huyu mchezaji bora uondoke tu

    Kwako boss Mo, Toka hapo DUBAI haraka na mzigo wa kutosha nenda pale mali kwenye club ya Stade malien,, ulizia mchezaji anaitwa lassine kouma ulizia bei then sajili chap usiombe negotiations yoyote na ikiwezekana na chenji usidai Waache kina Mangungo waendelee na 10% kwenye sajili zingine (...
Back
Top Bottom