MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,938
Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!
Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!
INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.