mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lupweko

    Sio uungwana kumchezesha mchezaji aliyefiwa na mzazi wake

    Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo. Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nyota huyo wa zamani wa FC Saint loi Lupopo ya DR Congo huku...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    Huu mchoro unamuhusu mchezaji gani? Wakongwe karibuni

  3. MwananchiOG

    JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  4. M

    Simba Tumlipe mchezaji wa jkt kwa uzalendo wake kwetu

    Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana. Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
  5. DELETED ACCOUNT

    Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  6. A

    Mbowe; Mchezaji mzuri asiyejua muda sahihi wa kuondoka jukwaani?

    UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
  7. errymars

    Ademola Lookman Amestahili tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka kwenye Tuzo za CAF 2024?

    https://youtu.be/2nc32h40PQg
  8. Waufukweni

    Kocha Simba SC, Fadlu Davids: Jean Charles Ahoua ni mchezaji mdogo sana, tumpe nafasi kujifunza

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza. "Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
  9. This is...

    Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  10. Waufukweni

    Ahmed Ally atupa dongo kwa Yanga, awaita Simba B baada ya Mwenda kutua kikosini na kuwa mchezaji wa 4 aliyecheza Simba kabla ya Yanga

    Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
  11. sergio 5

    Offen Chikola: Nyota wa Kandanda anayeng'ara ndani na nje ya Uwanja

    Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida. Anajulikana kwa kuwa mtulivu na mwenye akili timamu, iwe uwanjani au nje ya uwanja.
  12. S

    Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

    Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi. Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata...
  13. Allen Kilewella

    Mchezaji wa Fiorentina aanguka uwanjani. Hali yake mbaya.

    Mchezaji wa Fiorentina aitwae Edoardo Bove ameanguka uwanjani na kupoteza fahamu wakati wa mchezo kati ya timu yake na Inter Milan kwenye Ligi kuu ya Italia. Tukio hilo limetokea ghafla dakika chache baada ya mchezo huo kuanza. Kapelekwa Hospital.
  14. Metronidazole 400mg

    Deborah Fernandez ni mchezaji wa kawaida Sanaa, Simba Bado timu haijakaa vizuri tunajipa moyo tu

    Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu jamii sports utanielewa. Sasa twendeni sambamba kwenye mada husika kama kichwa Cha habari hapo juu...
  15. sergio 5

    Itachukua muda Tanzania kupata mchezaji kama Feitoto

    Habari za muda huu wapendwa Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli? Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
  16. Greatest Of All Time

    Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  17. U

    Kwanini jezi namba 9 klabu ya simba haivaliwi na mchezaji yeyote kwa miaka mingi? mara ya mwisho jezi hiyo alipewa mchezaji felix sunzu

    Kichwa cha habari chahusika Karibuni
  18. C

    Clouds FM wanajadili nani mchezaji bora wa muda wote kati ya Samata na Msuva

    Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON. Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata. Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
  19. Allen Kilewella

    Mchezaji gani kwa Sasa unadhani hafai kuendelea kuichezea Yanga?

    Kwangu Mimi hawa wachezaji Yanga iachane nao. 1. Baleke 2. Dube 3. Diarra 4. Aziz Ki 5. Nkane
  20. Lupweko

    Maneno ya mchezaji İlkay Gundogan kuhusu kadi nyekundu ya mapema ya mchezaji mwenzake Araujo

    "This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began. "I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
Back
Top Bottom