Nimebaki njia panda, sijui huyu mchepuko ana plan gani!

😂😂😂😂😂😂
Samahani kukuambia hili Old Guard ila wewe pamoja na 'xaf', 'haikuux', wako wote mna pigo tu za ajabu.!

Kitendo cha kumsaliti mkeo ni uwaki namba moja, kitendo cha kuweka namba za binti wa watu public hivi pia ni u-phaller,

Kubwa zaidi uzinzi mfanye wenyewe kisha yakiwakuta makubwa msalaba tubebe wote, hapana, 'you gonna reap what you sow walaqhi'..!
 
Tatizo lako unamihemko halafu hujaelewa kitu hiyo mimba utalea mpaka azae kwa sababu ya ujinga wako .

Hiyo mimba sio yako ni ya huyo boy(hana maisha) wake ila anataka ulee wewe !? huwa mnatapeliwa hivi hivi mnakua na kazi zenu na maisha yenu halafu mapenzi mmeanzia ukubwani cjui kwa kuamini pesa ni kila kitu.

Na huto amini maneno yangu zaidi utachanganyikiwa kwa sababu kama mlikuwa wawili halafu huelewi kinachoendelea unatuuliza sisi tulio burundi ndo tulia sasa nikuhakikishie.

100% hio mimba sio yako utalea na mtoto akizaliwa utajua ukweli umenasa, kibaya zaidi huwezi kukataa kwa sababu umeshikwa penyewe wanaume wachache wenye maamuzi sahihi kwenye hilo suala na njia sahihi sikuambii.

Lakini ningekua mimi ningemfata alipo ningejishusha ningembeleza nitampeleka akale chakula na kumnunulia zawadi ambayo itamgusa nitapeleka lodge nitakula mzigo mwishoni nitambembeleza kwa kumpa umuhimu wa kutozaa kwa sasa atakula vidonge tu, halafu nikuulize ? hazijapita siku 3 p2 zetu zicje kushindwa kufanya kazi ?.

halafu ucwe na tabia ya kukubali mwanamke akuelkeze cha kufanya mahali au jambo amblo hutkiwi kumwachia aamue hatima yako "amua cha kufanya "mwambie tulia hio kazi utashugulikia wewe sio yeye katoto kana 20 kanakuambia tulia na ndevu zako unatulia hlf usubiri mmbo yawe unavyotaka unakosea atakupelkesha ukiendelea hvyo.
 
Wasalaam!

Niende moja kwa moja kwenye point,mm nmeoa mwaka jana mwez wa pili na mke niliyempata Alhamdulillah ni bint mzur alielelewa katika maadilu mazur na bahat nzur nilimkuta akiwa bikra kwahyo nikalipa mahar nusu tukala mpunga ikaisha na saiv tumebahatika mtoto wetu mzur wa kiume(Alhamdulillah)
 
Sas kimbembe kimeanza nilipata kamchepuko hata mwez hatuna kana age km 20,mara ya kwanza kusex nae aseh nilienjoy sana toto na styl zake za doggy styl na plan yangu mm nipite na sio kueka makaz nikajikuta nmenogewa na mapenz tu na sio kueka makazi

Majuz tumekutana nikatoka kazin nikampigia cm wife nimepata dharura ya kikaz kwahy tunachomoka nje ya daslam kidg huku pemben mchepuko nmempanga tumeet leo tunalala kabisa kwel tulikutana nikachukua chumba maeneo flan hv tukalala usiku kucha namgeuza km kambale sas baada ya kupiga bao la kwanza akaniambia “leo yupo siku za kunasa mimba” sas nikaona nishamwaga ndan acha niendele tu

Bhas ikafika asbh nikamuachia hela ya kununua p2 na nyingine ya kumsaidia mm nikaoga nienda kazin nikamuacha amelala,badae ananiambia kapoteza pesa zote nikataka kumtumia tena akakataa nisitume ikabid nimuulize “kwahy hiyo mimba ikiingia itakuaje” akanijib”atampa boy wake”

Sas nmebaki njia panda sijui nifanyaje na mm kiukwel binti sijavutiwa nae bali nilihitaj tu kampan ya kupoozana hii kitu hapo mwanzo nilimchana na jana kaniambia hii mimba hainihusu tena anampa boy wake

Na mm upande wangu nahofia ndoa yangu isije ikaingia mikwaruzano na nmeishi na mke wangu kwa aman sana

Hapo sielewe nichukue uamuz gn kuhusu hiloView attachment 2075636
Uzembe wako ..matokeo yako
 
Hapo sielewe nichukue uamuz gn kuhusu hilo
Wewe ni mwanaume wa ajabu unaye enda peku-peku kwa mchepuko. Bora iwe mimba kuliko kupeleka HIV kwa mkeo!!

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Samahani kukuambia hili Old Guard ila wewe pamoja na 'xaf', 'haikuux', wako wote mna pigo tu za ajabu.!

Kitendo cha kumsaliti mkeo ni uwaki namba moja, kitendo cha kuweka namba za binti wa watu public hivi pia ni u-phaller,

Kubwa zaidi uzinzi mfanye wenyewe kisha yakiwakuta makubwa msalaba tubebe wote, hapana, 'you gonna reap what you sow walaqhi'..!

Kuhusu hiyo screenshot nmekosea tu sio dhumun kueka public hizo numb na ndio maan nmefuta japo kuna wapuuz wamempigia cm
 
Back
Top Bottom