Naombeni ushauri akija nifanye nini?

Mhakiki

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,306
1,993
Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022.

Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka wa sita tuko kwenye mahusiano. Huyu mchepuko wangu wako mapacha tena wa kufanana na wamefanana kweli ila mwenzake ameolewa.

Sasa Kuna wahuni waliniona niko na mtu wangu na inaonesha huyu mhuni hawawajui vizuri hawa pacha na akapenyeza habari kwa jamaa kuwa mkeo anatoka na mhakiki. Jamaa amemaindi balaa timbwili lake asha ngedele Cha mtoto. Nimetumia njia za kidplomasia kutatua huu mgogoro ikashindikana.

Shemeji yake ambaye ni mchepuko wangu amefika mbele ya kikao kueleza ukweli kuwa yeye ana mahusiano na Mimi jamaa haelewi na ana mpango wa kuja kuonana na mke wangu.

Naombeni ushauri akija nifanye nini?
 
Hapo wa kumalizana nae n huyo mchepuko. Kule unakubali is your side chick lakini mbele ya mkeo unakataaa huwajua kabisa.


But cheating is bad thing. Kwanini usitulie na mke wako??
Nashukuru Mkuu
 
Hiiii na wewe ulikubali kua ulichepuka? Basi sawa R.I.P mdau mwenzetu.
 
Back
Top Bottom