Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo.

Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife anasali sana afu namkubali sana.

Wakuu sielewi yani. Yote kwa yote sitorudia tena Kuchepuka ee Mungu nisaidie

1625809548959.png
 
Shukuru Mungu. Leo ndiyo ilikuwa siku yako ya kupata UKIMWI umpelekee na mkeo wote muanze kufakamia ma ARVs mfubae kama ngozi ya magotini. Leo Mungu Amekuokoa. Ukifika home ingia bedroom, piga sala ya nguvu, kemea hilo pepo na wife akija kuangalia kinachoendelea kamata halafu mpelekee moto wa uhakika. Tena lia kabisa leo ukiweza. Pambafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom