mbwembwe

Alfred Mbwembwe (born 16 April 1984) is a former Zimbabwean cricketer who represented Mashonaland and Mashonaland A in Zimbabwean domestic cricket. He played as a right-arm pace bowler.
Mbwembwe was born in Harare. He was selected in the Zimbabwe under-19s squad for the 2002 Under-19 World Cup in New Zealand, and appeared in seven of his team's eight matches. He finished with seven wickets at the tournament, including 2/18 against Bangladesh and 2/29 against Namibia. Mbwembwe made his first-class debut a few months after the World Cup, playing a single Logan Cup match for Mashonaland A against Midlands. He took 1/25 and 1/19 on debut. During the 2002–03 season, Mbwembwe played another three Logan Cup matches, appearing for Mashonaland against Manicaland, Matabeleland, and Midlands. He took only three wickets in those games, and made no further top-level appearances.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbwembwe za majeshi ya Afrika!

    Ona hawa ‘makomandoo’ wa jeshi la Senegal. Sipendi kuhukumu sana bila ya kuwa na taarifa za kutosha, ila kwa kutumia macho tu, naweza kusema hawa watu [wanajeshi wa Kiafrika] ni vilaza sana. Hawa wajeda wa Senegal kumbe hawana tofauti na hawa wakwetu wanaovunjaga matofali kwenye maonyesho ya...
  2. Ahmed Ally semaji la Simba linavutia sana linavyoongea na zile mbwembwe

    Kusema ukweli uongeaji wa semaji unavutia sana hasa anavyokazia maneno na ile tone yake pamoja na maneno na vikorombwezo kibao anavyomix wakati wa uongeaji. Na kinachochekesha zaidi na kufurahisha ni ule u seriousness wake wakati anaongea. Hakika semaji tunakukubali.
  3. M

    Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
  4. Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

    Mgema akisifiwa............ Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa. Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya...
  5. FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1. Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
  6. Goli la kwanza ndiyo huwa tamu kuliko magoli yote kwenye sex hayo mengine huwa ni mbwembwe tu

    Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza? Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima. Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
  7. Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

    Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo
  8. Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu. Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo...
  9. M

    wewe unapenda nyumba yako iweje

    kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya...
  10. CHADEMA wanafurahia sana misururu ya watu wanapopita mijini. CCM wao wanajijenga mashinani na hawana mbwembwe

    Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita! Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
  11. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi mlimleta Bigirimana kwa Mbwembwe zote, mbona sasa mnaachana nae Kimya Kimya?

    Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki. Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
  12. Hata saa 24 hazijapita CHADEMA tayari waanza mbwembwe

    Hali ilivyo mida hii moja ya tawi la Chadema nchini. Swali : Je watapata kibali?.
  13. Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  14. Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

    Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC? Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa...
  15. Pamoja na mbwembwe zote za UK kumbe Buckingham Palace imechoka hivi

    Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
  16. D

    Zijue mbwembwe za mawakili

    Zamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano! Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za migogoro ya ndoa tu Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu Wapo...
  17. T

    Pape Ousmane Sakho (POS) usilewe mafanikio ya kiatu cha goli bora, bado una safari ndefu

    Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy: Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa Italy kupitia Azam max, niseme tu pongezi ziwaendee Azam kwa kutuwezesha diasporas tulioko huku...
  18. Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

    Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ... Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
  19. Ngonjera na mbwembwe nje ya mahakama haitamsaidia Mbowe kushinda kesi, tujitafakari makamanda. Tukumbuke majaji wana mamlaka makubwa

    Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi. Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
  20. Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…