Mbunge wa Nyasa Mkoani Ruvuma, John Nchimbi ameitaka Serikali kuwapanga watumishi wake kulingana na weledi wao, ili kuepusha kuwapanga maeneo yasiyowahusu na hivyo kuzorotesha ufanisi katika kazi.
Nchimbi aliyasema hayo April 17 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia hotuba ya mapato na...
Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka akichangia hoja bungeni leo Aprili 15, 2026 amesema tozo na kodi ambazo wawekezaji wa madini wanapitia ni nyingi na zinaweza kuchangia kushindwa kufanya biashara, na baadhi ya mamlaka zinakuwa na nguvu ya kufunga biashara inapotokea mwekezaji hajalipa moja...
Bunge linaendelea na hakuna anayejali kupanda kwa bei ya vyakula na bidhaa.
Salaam!
Hali ya uchumi inaelekea pabaya sana. Kama kuna mbunge anasoma huu ujumbe wangu afanyr jambo. Huku mtaani kila kitu kimepanda bei, cha ajabu kwa hawa user wa mwisho kabisa ie mwananchi kila kitu bei imepanda...
Akichangia hoja Bungeni Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge Zuwena Bushiri amesema kuwa:
"vijana wetu wametafutiwa kila njia ya kujikwamua kiuchumi. Ukiingia katika mikopo ya Halmashauri kumi, vijana wapo. Lakini Mheshimiwa Rais ameona haitoshi, akawatafutia bilioni mia mbili ili kuwawezesha...
Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
Mbunge wa Mtwara Vijijini Mheshimiwa Arif Premji ameshauri serikali kuchakata gesi iwe Diesel na Jet Fuel, Akiwa anachangia Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu.
Nini maoni yako?
"Tunaongelea mradi wa LNG wa Tirilioni mia moja tril 100. Chombo cha habari cha Citizen na Reuters ya London...
MHESHIMIWA KASSIM AMARI MBARAKA MBUNGE WA TANGA MJINI ATEMBELEA MAKTABA
Mheshimiwa Kassim Makbel Mbunge wa Ngamiani Tanga leo ametembelea Maktaba na kuizawadia kitabu kizuri sana tena cha nyakati hizi tulizonazo.
Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka kaizawadia Maktaba kitabu cha Ayatullahi Udhma...
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
Wakati mwingine mbunge ukikosa hoja ni bora ukakaa kimya. Kuwaambia wananchi wasiwe na mihemko ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura. Mbunge ungetakiwa kuwafariji wananchi wakati huu serikali inapoumiza kichwa kuona tunavukaje hapa. Au huyu mbunge hajui kupanda bei ya mafuta ni mwanzo wa kupanda...
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo.
Hatua hiyo...
Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.
Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge.
Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva.
Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar Said Salima Hamad ajinadi kwa Lugha ya Kifaransa bungeni wakati wabunge wakiomba kura katika uwakilishi wa Taasisi mbalimbali leo februari 5, 2026
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.