Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akizungumza Bungeni leo Juni 22, 2026, amewataka Wazazi kuchukua Jukumu la kuwale watoto hasa katika kipindi cha umri wa 0 hadi miaka 18 ikiwa ni kipindi cha kumjenga Mtoto Kiakili.
"Nina wasiwasi na malezi na makuzi ambayo tunawapa...
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Bajetia Kuu ya Serikali 2026/2027 Bungeni leo Juni 2026, ameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuboresha maslahi na posho za madiwani nchini.
"Nimwombe Rais Samia kwa unyenyekevu, kwa hali ilivyo sasa, ni vyema serikali...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu.
Fwanda...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa...
Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono.
Kwa kauli za waZanzibari, wengine mawaziri , za hivi karibuni, sasa Bunge limewaka.
Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanzibar, Simai aliyetoa matamshi kuwa kuna Msaliti Yuda ndani ya Serikali ya Samia, mbunge Waitara amemuonya...
Hii ni sauti inadaiwa kuwa ya Ahmed Shabiby, mbunge wa Gairo , alipigiwa simu na Mwananchi kuhusu maendeleo lakini yeye akamtukana na anasikika akiagiza watu aliokuwa nao kwamba huyo mwananchi akamatwe a***** porini. Huyo mwananchi anaishi kwa mashaka sana kwa sasa
Huyu huwa anajifanya kukosoa...
Simai anapiga huku huku, akiingia baraza la wawakilishi anapiga, akiingia bungeni anapiga. Barazani anapiga hoja akienda bungeni anaupiga mwingi
Nashauri na awepo mwakilishi kupitia bunge ili na wao tuone kama anaweza kucheza pande zote 2 za muungano
Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozo toka kwa spika.
Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya...
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said, amesema mafanikio ya Serikali katika ukusanyaji wa mapato yanaonyesha kuwa Tanzania ipo katika mwelekeo sahihi wa kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akichangia mjadala wa Bajeti ya...
Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndingo, ameitaka serikali kuharakisha malipo ya fidia kwa wananchi wa jimbo lake walioathiriwa na upanuzi wa mipaka ya hifadhi ulioingia kwenye maeneo yao.
Akichangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni Dodoma, Ndingo amesema mchakato wa fidia kwa wananchi...
Habari .
Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo.
Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees)
Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali.
Kingine hela ya kumuona Daktari haingii...
Sera ya matibabu bure haitufikii vyema wanawake, kumwambia Mwanamke wa kijijini achangie 250,000 kwa ajili ya upasuaji, ni gharama kubwa sana hivyo wanawake wanaona bora wakajifungulie nyumbani
Hayo ameyasema leo 12 Mei 2026, Bungeni Dodoma, wakati akichangia hoja bungeni kuhusu bajeti ya...
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini Paschal Lutandula akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya madini amesema kuwa kuwa ' Kama Biblia ingeandikwa leo, inawezekana ingeandika hivi, Marais wengi wamefanya kazi nzuri, lakini wewe daktari Samia umefanya kazi vizuri zaidi'
Ameongeza kuwa huenda ni...
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala...
Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amechangia hoja ya bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo Aprili 21, 2026, ambapo ameeleza changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa mipango ya mazingira na hasa biashara ya kaboni katika halmashauri mbalimbali nchini...
Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani?
Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza kutengenez vipato vyao na kuweza kupata 50,000 kwa siku, kupata 1500,000 kwa mwezi. Serikali imesema...
Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60 hadi 70 au zaidi, jambo linalochangia kuongezeka kwa idadi yao.
Kutokana na kutokuwepo kwa...
Mbunge wa Nyasa Mkoani Ruvuma, John Nchimbi ameitaka Serikali kuwapanga watumishi wake kulingana na weledi wao, ili kuepusha kuwapanga maeneo yasiyowahusu na hivyo kuzorotesha ufanisi katika kazi.
Nchimbi aliyasema hayo April 17 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia hotuba ya mapato na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.