mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Mifuko ya Mikopo ya Serikali Haijafika kwa Walengwa

    MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Aishukuru Serikali Utekelezaji wa Miradi Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI AISHUKURU SERIKALI UTEKELEZAJI WA MIRADI USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwakutoa kiasi cha Sh bilioni 196 iliziweze kusaidia miradi ya kimkakati iliyokuwa imeshindika kukamilika. Cherehani amesema hayo Aprili 10,2025...
  3. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Jesca Kishoa: Uchaguzi usipokuwepo amani itavurugika, kwa jeshi la polisi tulilonalo hakuna atakayezuia uchaguzi

    Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida, Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Kishoa...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge Sugu

    Wakuu shobo mbaya sana aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge sugu

    Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo atoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Sukari hiyo imegawanywa na Katibu wa Mbunge, Julias Butogwa...
  9. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimewauliza wananchi kama wana mfahamu na mara ya mwisho kumuona mbunge wao - majibu yao yameniacha hoi

    Hawa Ni wananchi wa Mwanza, Nyamgana na Ilemela, nimejaribu kuuliza kama wanamfahamu mbunge wao na Mara ya Mwisho kumuona Ilikua Lini, Asee Majibu yao yatakufikirisha
  10. Egnecious

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Wa Temeke akiwasilisha Utekelezaji wa Ilani Kata ya Keko

    Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge Mwanamke Kutoka Republican Afariki

    Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake. Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs. Love...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Bukoba Vijijini: Serikali imetoa bilioni 106.4 kutekeleza miradi ya maendeleo

    Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni Rweikiza anasema. Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Pangawe Wananchi wako wanadai umewatupa

    Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua. Nina mzee wangu ambaye yupo hapo analalamika kuwa jengo ambalo wamepanga kodi iliisha tangu Desemba 2024, lakini kinachowasikitisha...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wananchi wa Jimbo la Moshi Manispaa kwa Mbunge wao

    Wananchi wa Jimbo la Moshi kwa ujumla wamewasilisha maoni yao kuhusu uongozi wa mbunge aliyepo madarakani. Wameeleza wasiwasi wao na kumshauri asichukue fomu kuomba kugombea tena ubunge kupitia CCM. Sababu za ushauri huu ni nyingi na zinaashiria kutokubalika kwa mbunge huyo katika jamii...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Koka: Walimu chaguaeni viongozi wenye uwezo wa kuwapambania badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija

    Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa maendeleo yao. Koka ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama cha Walimu...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania, wanasisasa sasa wanabuni Upya Elimu ya Ufundi ( VETA) kwa watoto wa Maskini

    Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020 , watu wanataka kujua maendeleo yake ya Afya maana kuna ile karma ya Akwilina je imemrudia?

    Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo waliandamana na mwisho kikatokea kifo cha Akwilina. Naomba kujua ile dua na karma imeshamfikia...
Back
Top Bottom