mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

    Nawasalimu kwa jina la Lowassa Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM. Whats so special about him?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Uwekezaji wa Mbowe yaonekana sasa

    Matunda ya maono mazuri ya gwiji wa siasa za upinzani nchini (Mwamba) Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kuwekeza kwa Rasirimali watu haswa wasomi vijana leo imekuwa na faida kubwa kwa nchi kutoa viongozi wengi vijana. Ikumbukwe ni yeye aliyeanzisha mpango wa kutembelea...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Kagera kuhudhuria Mazishi ya Profesa Baregu

    Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu . Taarifa zinaonyesha kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

    Mbowe ameshiriki Ibada hiyo katika Kanisa la KKKT usharika wa Kunduchi Beach. Hayati Mzee Baregu alikuwa Mjumbe Mstaafu wa Kamati kuu ya Chadema.
  5. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

    Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi. Video hii ya Mapokezi...
  6. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo. Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe acha mzaha na Damu za watu

    Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge. Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama. Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na...
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

    Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA . Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Iringa, Maandalizi ya kumpokea Mbowe yakamilika

    Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania, basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sabaya alitia chumvi kwenye Engine gari la Mbowe

    Mwezi May mwaka jana, Freeman Mbowe alisafiri kutoka Moshi kwenda Dodoma. Alipofika Arusha gari yake ikapata hitilafu kidogo. Akapiga simu ikaletwa gari nyingine, na ile ya awali ikapelekwa garage hapo Arusha (naihifadhi jina kwa sasa). Mbowe akaenda zake Dodoma. Kumbe Sabaya alikua Arusha kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

    Habari wadau, Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya. Unaenda mwezi wa pili sasa Mbowe alishazunguka kanda nyingi lakini hakuna kanda hata moja walipoonekana wakipokea Wanachama...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

    Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

    Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo. Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

    Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno. Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

    Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana Mwamba Mwenyewe ameombwa kuongoza kikao hiki na amekubali
  17. JamiiForums Tanzania Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

    Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Vincent Mashinji?

    Huyu ndugu yetu kipindi cha jiwe alimkimbia Mbowe, akaelekea Kawe kuomba ridhaa ya CCM akapigwa chembe la kidevu na Gwajiboy. Baadaye jiwe sijui alikuwa na mpango gani nae, nikaona kampiga kimya. Sijamsikia huyu Dkt. wa binadamu au atakuwa kaamua kurudi kwenye tiba huko kulikojengwa mashine ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa apendekezwa kumrithi Mbowe nafasi ya mwenyekiti CHADEMA 2023 atakapostaafu!

    Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023. Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila linalowezekana kuhakikisha mchungaji Msigwa anakuwa nahodha wa CHADEMA baada ya mh Mbowe kustaafu kwa mafanikio...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023 Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…