mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

    Kesho tarehe 5/8/2021, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itatajwa kesi ya jinai inayomjumuisha Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe. Mbowe pamoja na wenzake watatu wanashtakiwa kwa makosa mbalimbali ya kijinai. Kwake binafsi, Mbowe anashtakiwa kwa mashtaka ya kula...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Wakili muhimu kwenye kesi inayomkabili Mbowe, unapaswa kuja nchini bila kujali mazingira

    Wsalaam wanajamvi, Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi: Tutasema Freeman Aikael Mbowe sio gaidi

    Tutasema " FREEMAN AIKAEL MBOWE SIO GAIDI" Kwako mhe. Freeman Aikael Mbowe. Ninapokuwa katika umri wangu huu wa karibu robo karne hakuna siku imewai kupita sijasikia jina Freeman au Mbowe maishani mwangu aidha niwe ndani ya nchi au nje ya nchi, aidha niwe online au offline. Tutasema " FREEMAN...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sijashangaa wala kushtuka Mbowe kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi

    TUHUMA ZA UGAIDI ZA MBOWE ZINAWEZA KUWA NA UKWELI WOWOTE? Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu yangu Freeman Mbowe ametiwa hatiani na polisi kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama za kutaka kuua na kudhuru viongozi wa Serikali. Mbowe alitiwa mbaroni akiwa Jijini Mwanza. Toka namfahamu Mbowe amekuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya IGP Sirro justice must be seen and felt. Mbowe atiwe hatiani haraka

    Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao. Kauli ya IGP Sirro kuwa Mbowe sio malaika ni kauli nzito. Maana huyu ni mkuu wa Polisi wanaohusika na...
  7. JamiiForums Tanzania Tukubali ukweli, Watanzania si watu wa kufanya maandamano. Tusitegemee miujiza

    Makamanda, tukubali ukweli kuwa pamoja na wito wa kuandamana kutolewa mara nyingi na viongozi wa CHADEMA, hakuna iliyofanikiwa. Tunajilisha upepo kufikiri kuwa tarehe 5 Agosti itakuwa tofauti. Ni muhimu sasa tuwaambie viongozi wa CHADEMA waachane na mkakati huu ambao siku zote unashindwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe: Kuna dalili za watu kuja kuandamana

    Hii ndio hali halisi huko Mbeya leo hii(mwnyewe utajiongeza):
  9. JamiiForums Tanzania John Pambalu: Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mbowe watakwenda kwa amani, kama Sirro amepanga kutupiga na atupige tu

    Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
  10. JamiiForums Tanzania Pambalu acha kupotosha watu. Kesi ya Mbowe haina uhusiano na madai ya Katiba Mpya

    Huku ni kupotosha umma. "Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Nawasalimu kwa jina la JMT. My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Sabaya kuwa mmoja wa mashahidi kwenye kesi ya Mbowe?

    Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe inavyoenda, kuna uwezekano wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kuwa ni mmoja wa mashahidi kwa upande wa serikali. Inavyodaiwa kwenye hati ya mashitaka ya Mbowe, wakati...
  13. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, iko wapi taarifa ya Uchunguzi wa OCD wa Hai aliyesema Mbowe hatashinda Uchaguzi?

    Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi. Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, Waziri bora na wa mfano

    Ni mnyenyekevu Msomi Hajikwezi Mchapakazi. Anayebisha asikilize kipindi cha dk.45 ITV na radio one leo hii.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumshitaki Mbowe ni ngumu kuungwa mkono wa watu

    Watanzania tuna utamaduni wa kujuana hivyo kama unamjua mtu ni vigumu sana kubadilisha msimamo wako Mbowe kwa wakazi wengi wa Dar-es-Salaam wanajua na ni kati ya wale watu ambao wamejulikana kabla hata ya siasa. Mbowe tofauti na wanasiasa wengi kasoma Dar es-salaam, wazazi wake walikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Freeman Mbowe (CHADEMA) afungua shauri kupinga mashtaka dhidi yake

  17. JamiiForums Tanzania Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe siyo gaidi kwenye mawe, kuta na majengo inatufundisha nini?

    Walianza kongamano wakakamatwa, wakaenda kanisani wakakamatwa, wamefanya mahafali wamekamatwa, wakenda ubalozini wakakamatwa, walipoandamana wakakamatwa sasa wanaandika kwenye mbao kila mtu asome wanachotaka kuieleza Dunia. Tusipuuze sauti yao, tusizibe masikio nakujifanya tumewadhibiti bali...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

    Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…