Nimemshangaa naibu katibu mkuu wangu Benson Kigaila kulialia mbele ya wananchi kuwa Mbowe anafanyiwa ndivyo sivyo na Tanpol. Kuwa anafanyiwa nia ovu.
Suala lipo mahakamanni hapa tunataka nini tena? Kama polisi wana nia ovu tukawaumbue mahakamani. Kama kukamatwa mtu yoyote anakamatwa wakati...
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa...
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si...
Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya tu bali tuipate mapema.
Nawashauri viongozi wangu wa chama, hasahasa Mnyika na Lissu waweke...
Mimi ni mtu wa kawaida na ni Mtanzania. Kesi ya Mbowe ndiyo sasa imechukua nafasi kubwa katika mijadala baina ya wanannchi, kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya ndani na nje.
Sisi sote ni Watanzania na tunatakiwa tupendane, tushikamane, tuwe wamoja bila kujali itikadi za vyama...
Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao.
Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani.
Naona...
Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba.
Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
Bado tunalia sana na weledi wa vyombo vyetu vya Dola hasa jeshi la polisi na TIS. Tunajua kua lengo kuu la kumsumbua Freeman Mbowe si kesi ya Ugaidi wala uhujumu uchumi, lengo kuu ni kuzima Mjadala wa katiba Mpya. Kwenye hili weledi umekosekana na mmeitwisha serikali mzigo utakaoisumbua sana na...
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao.
Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP...
Hivi sasa vyombo mbalimbali vya kimataifa vya habari vya nje kama vile vya CNN, Aljazeera, BBC na vingine vingi, "headlines" ya habari zao ni kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa Mbowe na "kubambikiwa" kesi ya ugaidi kwa kosa tu la kupigania Katiba mpya ya nchi hivi sasa.
Vile vile...
Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake.
Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine.
Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA...
Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake.
Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala:
"Kuwe na mkakati rasmi wa mapambano ambapo tutakuwa sote na wahanga wetu katika raha na katika shida."
Kama ilivyo kwa kamanda Mbowe...
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.
Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola...
Salaam Wakuu,
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo.
Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae Kisaikolojia kutomuona. Ila kesi haijaahirishwa.
Tuendelee kufuatilia kwa karibu
=====
UPDATES;
=====...
Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.
Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
Huyu mzee ametoka kuzika ndugu zake wawili wa damu ndani ya mda mfupi.
Anapitia nyakati ngumu mno pengne kuliko mpinzani yeyote ndani ya nchi hii.
Anakabiliwa na kesi lukuki, uchumi wake binafsi umeporomoka, usalama wake u shakani.nk
Ana miaka 60.
endapo mwelekeo utakuwa ni huu sijui tu.
Kwa...
Kiongozi wa Act -Wazalendo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea Mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia. Walimtembelea katika Gereza la Ukonga na Mhe. Zitto akachukua nafasi hiyo kumpa zawadi ya chakula cha ubongo
Chanzo Act -Wazalendo
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama.
Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu.
My take...