mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  3. JamiiForums Tanzania Happy born day Mwamba Mbowe

    Leo ni siku yako ya kuzaliwa na unaiadhimisha ukiwa jela kutokana na kupigania Uhuru wa Nchi yako. Mungu akupe maisha marefu
  4. JamiiForums Tanzania John Mwambigija atoa hadharani Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa Watanzania kutoka gereza la Ukonga

    Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo akituhumiwa kwa makosa ya Ugaidi. Baada ya kuonana naye Mh Mbowe alimpa ujumbe Maalum Mwambigija ili...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye kesi ya Mbowe hakuna shahidi huru aliyeshiriki mchakato wa upekuzi?

    Kati Mashahidi wote waliotajwa na Jamhuri hakuna shahidi ambaye alishuhudia upekuzi nyumbani kwa watuhumiwa. Mara nyingi upekuzi unapofanyika viongozi wa serikali ya mtaa ushiriki na utumika mahakamani kuthibitisha kwamba vielelezo vilivyokutwa kwa mtuhumiwa ni sahihi kwa uelewa wake. Katika...
  7. JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe kuwa na tuhuma za ugaidi isiwe sababu ya kutaka Watanzania tuamini anaonewa. Tuache mahakama iamue.

    Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa lakini suala lipo mahakamani. Ibara ya 13 ya JMT ipo wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakuwa na hatia mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ninachojua kuhusu kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe

    Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi. Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine...
  10. JamiiForums Tanzania Kielelezo namba 20 (Mfuko wa shangazi kaja) kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake Chasisimua Mahakama

    Taarifa iliyotolewa Mbele ya Mahakama ya Uhujumu uchumi na Waendesha mashitaka wa serikali , kwamba Moja ya kielelezo kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake ni mfuko wa bei chee wa kubebea vifurushi unaofahamika kwa jina zuri la SHANGAZI KAJA , umefanya Waliohudhuria kesi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

    Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani. Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje. Mimi naona hii ligi...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

    Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

    Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani. Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa...
  15. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu yaendelea kuvutia Mabalozi na Wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa

    Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa . Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu ...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Leo Mbowe ameitwa Gaidi, kesho sheria hii itatumika kuwanyamazisha wana-CCM wenye maono chanya

    Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa. Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii. Naamini Mbowe ametangulia ili...
  18. JamiiForums Tanzania Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

    Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hii sheria ya Tanzania ya kuzuia ugaidi - Mbowe na wenzake wapambane sana mahakamani

    https://www.tanzanialaws.com/index.php/principal-legislation/prevention-of-terrorism-act kwa kifupi UGAIDI NA TAFSIRI KATIKA SHERIA YA KUZUIA UGAIDI SURA YA 19 YA MWAKA 2002. Tafsiri na kuzuiwa kwa vitendo vya ugaidi.kifungu cha 4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

    Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…