James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma..
Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO
https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma...
https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ
Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano.
Kwa sasa Chadema imetekwa na...
Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu.
Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni.
Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile.
Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
Wengi wa watu wanachukia sana wanasiasa kwa sababu wanawaona wana sifa mbaya ni ukweli wako wenye sifa mbaya na nzuri ni kama tu Kwenye biashara kuna ambao ni wafanyabiashara waaminifu na ambao sio waaminifu, hata makazini ni hivyo hivyo kunawapigaji na ambao ni waaminifu
Wanasiasa ni rahisi...
Wanaukumbi.
Taarifa za ndani zinaweka wazi kuwa Mbowe ameamua kujinga na CHAUMMA.
Mbowe kwenda CHAUMMA.. kwanini wafuasi wa Chadema hawataki na wanamshambulia mbona Lissu, alikuwa NCCR Mageuzi au? Tatizo lipo waoi.
Pambaneni kuzuia uchaguzi si mlisema mwaka huu hakuna uchaguzi sasa...
Mimi siyo Nabii Wala sijaota ndoto yoyote ya Kimbingu, lakini Ninatumia Logic ya kawaida sana. Nasema kama Mbowe atajiunga Chauma. Asipojiunga ni story nyingine. Soma statement tatu zifuatazo;
1. Kwamba kufungia Chadema kutamsaidia Mbowe akose mtu wa kumkosoa na kwamba atafanikiwa na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
Namshauri John Heche akikopeshe chama milioni 300 ili kilipe mishahara, maana tangu January watu hawajalipwa. Hela zote zinaishia kumlipa posho.
Uongozi sio maneno tu, pia kujitoa. Mbowe alikuwa akitoa fedha yake kukopesha chama.
Najua Heche ni mkulima wa ufuta, atakuwa amevuna
Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea moja kwa moja chama hiko.
Japo kikatiba alibaki kua mwanachama na mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA...
Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya...
"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 -...
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe .
Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?.
Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu .
Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
Habari za jioni!
Sisi wengine, kutokana saikolojia ya kuzaliwa, sosholojia na falsafa ya damuni. Tukimwona mtu anaongea tunaweza kubaini mtu huyo ni mzuri au Mbaya. Mwaminifu au Msaliti.
Wapo watu wapo Chadema lakini ukiwasikiliza na kuwaona unajua kabisa huyu ni CCM.
Na wapo watu wapo CCM...
Huu ndio ukweli mchungu
CCM hawajui walitendalo!
Wanasahau Mbowe kashindwa uchaguzi na anaonekana kuwa na kinyongo.
Wanasahau wazungu wanafika mahakama kufuatilia kesi ya Lissu na huyo Mbowe haonekani.
Hata wageni leo watakuwa wamemshangaa Mbowe asiefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu...
Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana.
Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma...