mbowe

  1. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kuondoka na covid-19 kumi kwenda nao CHAUMMA

    Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!. Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mabadiliko Je Zitto alikuwa sahihi kutaka kumng'oa Mbowe?

    Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
  3. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Mbowe ila kuna madhaifu makubwa sana kwake niliyaona tangu 2014 japo niliamua kukaa kimya

    Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili 1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua . 2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great thinkers na wasomi . Ila udhaifu ambao nimeuona kwake ni ile kukumbatia falsafa ya kiswahili...
  6. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe ataipora Chadema jengo lake la makao makuu Mikocheni?

    Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande wa Zanzibar Je Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mlinzi wa Freeman Mbowe amepokelewa CHAUMMA, what next?

    Salaam! Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili. Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu, Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia mbele kabla kuweka mambo sawa? Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMMA kuna move gani yaja...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Mh. Mwenyekiti Mstaafu Mahakamani au Hamjamuna?

    Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi. Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM. Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe kufanya mkutano na waandishi wa habari Mei 19, 2025

    Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania MBOWE NI BABA NA MZEE NA MWANZILISHI WA CHADEMA ALIYEBAKI ATOE KAULI

    Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Kusema 'No reforms No election' tunatania ni kumdhalilisha Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

    Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau. Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau. Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos...
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Huyu kweli alikuwa kibaraka (mercenary) wa mabeberu. Kwa Lipumba, Seif, Mbowe, Zitto nk mabeberu wailikuwa kimya

    Kukamatwa kwa huyu jamaa yetu kumethibitisha bila kuacha shaka kuwa kweli mtu huyu alikuwa ni kibaraka (mercenary aka puppet) wa mabeberu fulani wa huko ulaya. Hao ndiyo walikuwa wakimpa kiburi cha kufanya na kuogea machafu dhidi ya serikali yetu na viongozi wa juu wa serikali yetu. Kiburi hicho...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Mbowe kumeguka CHADEMA inaweza kuwa utakaso kwa dhambi ya Lowassa?

    Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo. Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka...
  17. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

    Bonjour wanabodi! MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA. Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo...
  18. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kweli Mbowe ni gwiji wa siasa. Atabadili jina la chapa (brand name) ya chama hicho kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Umma (CHADEMAU)

    Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe unaonaje ufanye mapinduzi ya kiuongozi ili uinusuru CHADEMA?

    Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda. Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa haki na huru CHADEMA, Mbowe kukiri kushindwa kazi iliishia hapo

    Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo...
Back
Top Bottom