mbowe

  1. voicer

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

    Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya chadema dhidi ya Sabaya? Ilianzia jana huko Club House za Twitter ambapo kiongozi mwandamizi wa Chadema ndugu Godbless Lema alitoa povu la kutosha akiituhumu mahakama na mamlaka husika za Kitanzania kutotenda haki. Pia wakili wa kujitegemea na kada mtiifu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kama Jamhuri ilimuonea huruma Mbowe na ugaidi basi Mdee na wenzake wataachwa

    Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi. Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Njaa ya Chadema imewatoa kwenye mstari. Mbowe anawaza pesa kuliko maslahi ya taifa

    Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli. Chadema wana hali mbaya sana kifedha. Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele hapa nchini. Lakini wameunga mkono na wanasifia bila aibu. Mbowe amefyata mkia kama mbwa koko na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amewasaliti watanzania, hana nia na mpango wa kuig'oa CCM madarakani, anazuga mitaani akiokoteza vijisenti vya kujaza matumbo yake

    Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu. Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM? Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani. Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  7. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mbowe akataliwa Dar es Salaam! CHADEMA imekufa rasmi....

    Leo kulikuwa na tukio la Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao Mbowe. Lilikuwa ni tukio linaluhusu zaidi ushiriki wa watanzania. Cha ajabu na masikitiko makubwa, hakukuwa na muitikio wa wananchi. Watu hawana habari na Mbowe kama hakijatokea kitu. Namshauri Mbowe akatubu kwenye kaburi la Magufuli.
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe alia ubaguzi katika mfumo wa elimu Tanzania

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametoa msimamo wa chama chake, akisema kikifanikiwa kushika dola, lugha itakayotumika ni Kiingereza ili kuondoa alichokiita ubaguzi wa kiajira unaotokana na vijana wengi wa Kitanzania kutoijua lugha hiyo. Akiwa wilayani...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe aligaragazwa vibaya kiasi kile na Lipumba Uchaguzi wa 2005?

    Leo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika uchaguzi wa rais na mgombea mwenzake ndg Lipumba. Katika uchaguzi huo Mbowe alipata kura asilimia 5...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini wale watengeneza propaganda, hawamwandami Mrema aachie uongozi wa TLP, badala yake wanamng'ang'ania Mbowe tu?

    Baada ya kushuhudia Mwenyekiti wa chama cha siasa cha TLP, Mheshimiwa Mrema akijichukulia "dogodogo" na akifunga ndoa majuzi, ambayo ilileta msisimko mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, nilijiuliza maswali kadhaa, kutokana na hali niliyomwona nayo, ya kushindwa kunyanyuka kwenye kiti na kuweka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenyekiti wa Uvccm Dar anajitambua kweli? Yaani hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 ndio imemuachia huru Mbowe?

    Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. 👇
  13. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hawa Makomandoo wa Mbowe wamefanywa kama Wanasesere?

    👇👇👇
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mkanda na mkabila, hafai kuwa kiongozi hata kiduchu. Watanzania wamkatae na CHADEMA yake

    Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni. Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu Kiongozi anayefikiria masuala ya kuleta...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

    I mean, WTF!!! Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana. Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini? Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200. Not impressed at all!
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji aliyeongoza Mapokezi ya Mbowe mkoani Kilimanjaro ni nani?

    Habari za Jumapili. Wakuu mimi ni miongozi mwa watu ninaopenda wachapa kazi, mahiri, weledi na wanaojituma hasa kwenye professional zao. Jana nikipitia video clip mbali mbali zilizosambaa kuhusu Msafara wa Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe akirejea nyumbani kwao Machame nimeshuhudia Kijana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

    === Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya, Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai, Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

    === Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo. Chanzo: https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312 === "Kukamatwa kwangu kulikuwa kilele cha Uonevu" - Freeman...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Mbowe ulivyompeleka mahabusu

    Mbowe kila siku alikuwa anasema anawaonea wivu CCM. Tumeona wote yaliyomkuta. Amekaà mahabusu siku mia. Vitabu vya Dini vimeeleza,without equivocation,bila kigugumizi,kwamba mtu hatakiwi kuwa na wivu. Sasa naona kama vile kuna watu wanapanga kumzuia Mbowe asisheherekee kutoka mahabusu...
Back
Top Bottom