mbowe

  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Mbowe ulivyompeleka mahabusu

    Mbowe kila siku alikuwa anasema anawaonea wivu CCM. Tumeona wote yaliyomkuta. Amekaà mahabusu siku mia. Vitabu vya Dini vimeeleza,without equivocation,bila kigugumizi,kwamba mtu hatakiwi kuwa na wivu. Sasa naona kama vile kuna watu wanapanga kumzuia Mbowe asisheherekee kutoka mahabusu...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbowe umesamehewa na Rais, nawe wasamehe Mdee na wenzake 18

    Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao. Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM. Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mbowe Jimboni Hai yadoda, CHADEMA yaahidi kugawa nyama Kama motisha Kwa wahudhuriaji

    MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa Lissu na Mbowe ujumbe utakuwa Umewafikia

    Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa. Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu. Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki. Hii nchi ni yetu sote.
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi IGP Sirro kwa kauli hii ya Mbowe, Rais Samia, CCM na yote yanayotokea bado haujishtukii tu?

    Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu? Mbowe ameelezea mambo kadhaa Machi 18, 2022, jinsi ambavyo Jeshi la Polisi...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  7. kababu

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA warudishwa kwenye mstari baada ya kifinyo kikali

    Licha ya awali kuwa na msimamo tofauti, vyama vya Chadema na NCCR-Mageuzi vilivyoweka msimamo wa kutokushiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) vimetengua msimamo huo sasa vitashiriki. Mkutano huo wa maridhiano ya umoja wa kitaifa, ukiwamo Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 unatarajiwa...
  8. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi ya Freeman Mbowe

    Kesi ya ugaidi ya Mwenyekiti wa Chadema Mbowe na Wenzake imeondolewa mahakamani Si sahihi kusema kesi imekwisha, Mahakama inaonyesha 'kuna kesi ya kujibu'' Si sahihi kusema kesi imekwisha, hatukusikia utetezi Ni makosa kusema 'kuna msamaha' hakuna hatia au hukumu iliyosomwa popote pale Kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
  13. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe mkoani Iringa; Asema CHADEMA inachokozwa, ataja bendera ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) mkoani Iringa Sehemu ya kauli za Mbowe katika hotuba yake: "Tumekataa kuwa chama cha tamaa za fedha na...
  15. evangelical

    JamiiForums Tanzania Nashauri litengenezwe jarida la yote yaliyozungumzwa Mahakamani Kwenye Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na Wenzake

    Habarini, Nashauri Viongozi wa Chadema kwamba. Kwa kuwa waliruhusiwa kurekodi yote yaliyokuwa yanazungumzwa kwenye kesi hiyo. (Nimedokezwa na jamaa zangu wa State Attorney kwamba hii ndio iliyowafanya wakimbie kesi kwani uongo wao mwingi uliwekwa hadharani). Nashauri Uongozi wa Chadema au mtu...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa Mbowe na Wenzake, Tanzania imeshinda

    Pongezi nyingi kwenu viongozi wetu Mama Samia na Mheshimiwa Mbowe. Kwa hakika kama taifa mmetutoa kimasomaso. Mama Samia kauvaa ushujaa kwa kutuondolea aibu taifa hili na kuamua kutuunganisha bila kujali maumivu kokote. Mheshimiwa Mbowe japo muathirika mkuu wa kadhia hii, kwa maslahi ya taifa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

    Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
Back
Top Bottom