mbowe

  1. R

    Je, Mbowe amefanikiwa kutimiza lengo alilokusudia?

    Kwa waliomsikiliza Mbowe jana alikuwa na malengo makuu matatu Kwanza, kuonyesha jamii wazi kwamba Chadema walitimiza wajibu wao kama walivyoombwa na viongozi na jamii kwa ujumla kwamba wakae kwenye maridhiano na CCM kwa maslahi mapana. Ameonyesha walitekeleza lakini Chama cha Mapinduzi kimekataa...
  2. PreGE2025 Kumbe Mbowe na CHADEMA yake asipolamba asali anakuwa anajifanya ana uchungu na mali za Watanzania

    Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana. Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres Leo hii amesema ataandamana .Kisa tu hajapewe juisi za ikulu na anadai kuna dhuluma
  3. PreGE2025 Ushauri: Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

    Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samia Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu kuingia maridhiano na CCM hakusikia kabisa. Nakumbuka kwenye mkutano wa CHADEMA Mwanza, tarehe...
  4. B

    PreGE2025 Imefika Mahali kama Taifa tunakuwa hivi? Yaani Mbowe mmoja akikohoa Nchi inatetemeka?

    Kwa leo nilikuwa bize na kazi za kujenga Taifa na kumsaidia Mh Rais Dr Samia kukuza Uchumi wa Nchi kwa kuzalisha kwa level ya mtu mmoja mmoja. Nami kama mwananchi na raia mwema nikaona baada ya Kusherehekea Mapinduzi Matukufu basi nijielekeze kwenye uzalishaji. Kwa kusema hivyo sikuwa na...
  5. P

    PreGE2025 Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samia

    Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo. Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa...
  6. PreGE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

    Na; Hamis Abeid Baruani UDASA, UDSM. Kwa masikitiko makubwa leo Mbowe ameushangaza umma kwa kuongea mambo mawili ambayo hadi sasa yamepingwa kila kona ya nchi. 1. Katangaza kususia maridhiano 2. Kaitisha anayoyaita maandamano ya amani. a) Mhe. Mbowe kabla ya kususia MARIDHIANO unakumbuka...
  7. Kama CCM wanapata presha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, siku John Heche akiwa mwenyekiti watakufa kabisa!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze! Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu! 1.Huwa wanadai...
  8. M

    Updates: Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa Taifa

    Ni asubuhi Tulivu yenye mvua kwa maeneo mengi katika Jiji la DSM Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe anazungumza na Taifa muda mchache ujao. Ni siku ya Kihistoria kwani Feeman Mbowe anazungumza na Taifa kupitia makao makuu mapya ya chama eneo la Mikocheni Jijini DSM. Ni makao makuu...
  9. Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

    Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone. Sema kweli ama kaa Kimya!!
  10. PreGE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

    Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
  11. M

    PreGE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika muda tuseme kila kitu kwa uwazi kwamba, Chadema ina wazalendo wachache. Wengine wote wachumia tumbo na...
  12. WanaCHADEMA mmeanza mwaka vibaya, Mbowe amejinasibu hadharani kuwa anaongoza kundi la CCM B huku ninyi mkijifanya hamjui hilo.

    Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
  13. Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

    Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa. Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
  14. Mbowe amegeuka kuwa msemaji wa serikali?

  15. Freeman Mbowe alisema kuwa mwaka 2023 anang'atuka. Mbona kimya?

    Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine. Bahati nzuri akawa ameona hilo yeye mwenyewe na kuahidi kung'atuka mwaka huu 2023. Sasa anang'atuka...
  16. 2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  17. CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  18. Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  19. Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  20. Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

    Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu. Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia. Mimi nimeona demeanor yake. Anachowza ni ruzuku tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…