Kama CCM wanapata presha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, siku John Heche akiwa mwenyekiti watakufa kabisa!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze!

Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu!

1.Huwa wanadai mbowe anahongwa na serikali ya ccm kila mara,sasa unajiuliza kama ccm inamuhonga Mbowe kwanini watake tena ang'atuke?

2.Mtu mmeweza kumuweka kwenye kiganja na kumhonga kwanini mtake ang'atuke?,Huyo si ndiye mzuri kwasababu ni mtu wenu kama pandikizi?

Baada ya kujiuliza hayo maswali nikaja kugundua kinachofanywa ni Propaganda tu kwa Mbowe kwasababu haongeki!.

Sasa labda niwape tahadhari CCM na Machawa wake,ya kwamba Kama mnaumizwa na kupatwa na presha Mbowe kuwa mwenyekiti,nipende kuwahurumia kwasababu siku chuma cha pua,Kisiki cha Mpingo,Mwamba Geu, Mkurya mwenye misimamo mikali JOHN SUGUTA WEGESA HECHE akiwa mwenyekiti wa Chadema nadhani siku hiyo mtakufa kabisa!
 
JamiiForums1267461471_387x387.jpeg
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze!

Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu!

1.Huwa wanadai mbowe anahongwa na serikali ya ccm kila mara,sasa unajiuliza kama ccm inamuhonga Mbowe kwanini watake tena ang'atuke?

2.Mtu mmeweza kumuweka kwenye kiganja na kumhonga kwanini mtake ang'atuke?,Huyo si ndiye mzuri kwasababu ni mtu wenu kama pandikizi?

Baada ya kujiuliza hayo maswali nikaja kugundua kinachofanywa ni Propaganda tu kwa Mbowe kwasababu haongeki!.

Sasa labda niwape tahadhari CCM na Machawa wake,ya kwamba Kama mnaumizwa na kupatwa na presha Mbowe kuwa mwenyekiti,nipende kuwahurumia kwasababu siku chuma cha pua,Kisiki cha Mpingo,Mwamba Geu, Mkurya mwenye misimamo mikali JOHN SUGUTA WANKYO HECHE akiwa mwenyekiti wa Chadema nadhani siku hiyo mtakufa kabisa!

Mkuu hizi siasa za maji taka bado mtamdanganya nazo nani?

1. Hata jiwe hakuwahi kusema atapenda kuendelea bali tukiambiwa na wapambe wake: atake au asitake.

2. Hata mama tutaambiwa aendelee na kina Lucas mwashambwa, si yeye.

3. Komando zenji, Mwinyi bara ilikuwa hivi hivi. Wapambe nuksi!

4. Vipi mkuu na wewe uko kwenye tereni hilo hilo?

5. Kama CCM wanataka atoke si wangesema "asitoke" ili tuseme "atoke" kwa kuwa wanamshabikia; kama ndivyo?

"Mkuu mnatuchosha na hizi ngonjera zenu za kubumba."

Kwani huyu mwamba akija kuwa rais si ndiyo yatakuwa ya Mugabe, Paulo au Mu7.

Pale juu umejichanganya:

Mnatuchosha!

Proved, denoo JG, imhotep
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze!

Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu!

1.Huwa wanadai mbowe anahongwa na serikali ya ccm kila mara,sasa unajiuliza kama ccm inamuhonga Mbowe kwanini watake tena ang'atuke?

2.Mtu mmeweza kumuweka kwenye kiganja na kumhonga kwanini mtake ang'atuke?,Huyo si ndiye mzuri kwasababu ni mtu wenu kama pandikizi?

Baada ya kujiuliza hayo maswali nikaja kugundua kinachofanywa ni Propaganda tu kwa Mbowe kwasababu haongeki!.

Sasa labda niwape tahadhari CCM na Machawa wake,ya kwamba Kama mnaumizwa na kupatwa na presha Mbowe kuwa mwenyekiti,nipende kuwahurumia kwasababu siku chuma cha pua,Kisiki cha Mpingo,Mwamba Geu, Mkurya mwenye misimamo mikali JOHN SUGUTA WANKYO HECHE akiwa mwenyekiti wa Chadema nadhani siku hiyo mtakufa kabisa!
Labda aache kubeti kwanza 🐒
 
Heche yuko vizuri.Sio mtu wakumungunya maneno,kama ni nyeusi ni nyeusi na sio mtu wa maneno mengi ya porojo porojo.Yeye ni fact umeze au uteme,uharishe au uvimbiwe utajua wewe.
 
Back
Top Bottom