mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

    Wasalaam wana jamvi! Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake! Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa misukosuko anayopitia Mbowe, akipata urais atakuwa kama Idd Amin kifalsafa

    Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli? Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine. Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe -CHADEMA na Zitto-ACT- mnakwenda kwenye uchaguzi kupata nini?

    Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi? Kama wamediriki kulifuta...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wana CCM walioituhumu CHADEMA na Mbowe kwa ubabe waombe radhi

    Mwanzoni mwa mwaka huu kuna kundi la Wana CCM walikuwa wakiirushia madongo CHADEMA kwa kudai kinaendeshwa kibabe kwa matakwa ya mtu mmoja - yaani Mwenyekiti wake Mh Freeman Mbowe. Of course, kila mmoja anajua wazi kuwa target siku zote huwa si chama na taratibu zake bali Mbowe na uimara wake wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Clouds 360 yawauliza Bodaboda kama Mbowe alivamiwa au alianguka mwenyewe jijini Dodoma

    Watangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda. Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi: 1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine? 2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi ongoza watu wenye Akili. Tuambiane ukweli

    Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu. Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kabugi step?

    Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020, Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia mkuu anaye tegemewa kwa Sasa hayupo nchini na inawezekana muda ukafika na ikashindikana kuingia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

    Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho. Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu. Kwa hali...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe utakizika chama

    Kama utang'ang'ania kuwania Urais, unaenda kukizika chama rasmi acha ubishi. Mimi wakati unagombea uwenyekiti nilitoka wazi wazi na kukupinga kuwa haikuwa sahihi, sasa unataka kurudia makosa yale yale uliyofanya kugombea uwenyekiti zaidi ya miaka 15. Kama ni urais ulishagombea mwaka 2005 na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bi. Fatma Jumanne, msaidizi wa nyumbani wa Bi. Joyce Mukya, anashikiliwa na Polisi akihojiwa kusuhu Mbowe Kuvunjika Mguu

    Inasemekana hali imezidi kuwa tata na haijulikani alipo! Ndugu yangu aliyepo Dodoma jirani yao kanitonya! ===== Tumefuatilia kwa karibu taarifa za Polisi Tanzania kumshikilia Bi. Fatma Jumanne, msaidizi wa nyumbani wa Bi. Joyce Mukya, kinyume cha sheria tangu jana. Amekuwa akihojiwa kama...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Katika Demokrasia ya CHADEMA, Mbowe hajawahi kushindwa uchaguzi wowote wa ndani!

    Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM. Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB. Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba...
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe hatafuti urais, bali anatafuta njia ya kupiga pesa

    MBOWE HATAFUTI URAIS, BALI ANATAFUTA NJIA YA KUPIGA PESA - Ni mjasiriasiasa mbobezi, Kwake muhimu ni pesa na sio huduma kwa wananchi - Anafahamu katika dunia ya leo hakuna mtu anaweza chagua Rais aliyepata sifuri darasani na kuacha Rais mwenye PHD - Anajua akigombea yeye atakusanya pesa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la Tatu: Mgombea Urais CHADEMA ni Freeman Mbowe! Tundu Lissu Pacemaker! Nyalandu ni Serious Contender, Msigwa anatania, Dkt. Mayrose Majinge...

    Wanabodi, Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hon. Freeman Mbowe, please play altruism

    To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the contestants. This will create a fragile environment within your party taking into consideration that the...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe tafakari, yawezekana nipigo kutoka kwa Mungu kwani Mungu hajaacha kuwapigania waja wake

    Mh. Freeman A. Mbowe naomba weka pembeni itikadi zote za kisiasa utafakari jambo hili. Tafakari, nikwanini kipindi hiki cha kuelekea bunge kuisha umepatwa na tatizo la kuvunjika mguu! Tena usiku wa manane? Lakini kiujumla lilikuwa nitatizo dogo sana ambalo ungeweza kulihandle vizuri tu...
  16. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema. Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

    Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu. Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka...
  19. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kuwa Mbowe mpinzani mstaarabu ambaye anashawishiwa vibaya na vijana wake

    Kwanza kabisa naendelea kumpa pole sana Mzee Freeman Alkael Mbowe mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Chadema Niende kwenye maada moja kwa moja hoja yangu itajikita kisayansi Nilipokuwa nafuatilia tukio la Mbowe cha kwanza ilibidi nijikite kwenye uchunguzi wa vitu vifuatavyo a/ Mguu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…