mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Hongera Ihungo Secondary,Kagera kwa kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru Ally Katibu mkuu CCM Taifa

    Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru...
  2. JamiiForums Tanzania Hai: Mbowe kaongea kwa hekima kidogo wakati Magufuli akizindua Barabara Kilimanjaro

    Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa. Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Katika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mbowe: Vunja kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA, kisuke upya

    Wapendwa wakuu humu jamvini: Huu ni wakati wa Kampeni na Uchaguzi mkuu. Nguzo kubwa ya ushindi katika uchaguzi ni communication (mawasiliano). Kwa maana ya kwamba lazima wapiga kura wafikiwe kwa ujumbe na ilana ya chama kwa ufasaha na kwa haraka, na ujumbe huu urudiwe mara kwa mara kwenye media...
  5. JamiiForums Tanzania Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: CHADEMA inafanya kampeni kimkakati, kesho tutakuwa Arusha na keshokutwa Mwanza

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM. Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini Arusha na keshokutwa atakuwa jijini Mwanza kwa shughuli za kampeni. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

    Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA? Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

    Hili hapa andiko lake Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Walinzi wa karibu wa Mbowe wajiunga CCM, mmoja awa mgombea Udiwani

    Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi! Kuna ''wajinga'' fulani wanadhani Siasa za uanaharakati Tanzania zinaweza kuwawezesha kuchukua dola. Upinzani nchini bado...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Usiyempenda kaja, Mwamba Mbowe achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Hai

    Huyu hapa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

    Ndugu zangu, Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo. Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015. Ulikuwa uchaguzi wa kipekee sana kuwahi kutokea hapa nchini, na ulikuwa uchaguzi mgumu sana kwa Chama...
  17. JamiiForums Tanzania CCM wanatumia voter suppression tactics lakini Watanzania wa leo sio wajinga

    Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting. Kwa Kiswahili...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

    Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

    Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote . Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…