mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara mbovu Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya

  2. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania KERO Lift za Majengo ya Victoria Plaza na Twiga House (Posta) ni mbovu, zitakuja ziue watu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo lililopo mataa ya Morogoro road na Samora street ni mbovu sana na mda wowote litauwa watu Jengo lingine ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe ni mbovu sana

    Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza. Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi...
  4. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua Laptop mbovu

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO NIPO ILALA - DSM Call: 0767953873 whatspp: 0639994549
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu za Magari ya NEW BEST LINE, ruti ya Tarime - Dar es Salaam

    HAWA JAMANAA WANA HUDUMA MBOVU 🤮🤮🤮 .. NIMELIPIA BUS LUXURY VIP NAULI 85,000 KUTOKA BARIADI KWENDA DAR, BUS IMEFIKA IMECHELEWA, KUINGIA NDANI KUNA JOTO AC HAWAWASHI .. VUMBI NJIANI MTU UMETOKA MZIMA UNAFIKA NA MAFUA .. UKIULIZA KWANINI HAMUWASHI AC, UNAJIBIWA ITAWASHWA .. NA SASA TUMEFIKA...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abood wametukomesha, safari ya Dar – Mbeya imechukua Saa 24, wana huduma mbovu kwa wateja

    28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi anakuja. Tulikaa tangu Saa 1 Usiku hadi Saa 5 Usiku ndio Bus linaanza kutoka tena safari ya kutoka...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana, ina tu cost Watumiaji wengi

    Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Djigui Diara ni Golikipa mzuri lakini amekuwa na nidhamu mbovu

    Djigui Diara ni Golikipa Mzuri sana na bora pengine kuliko kipa yoyote wa kutoka nje kuwahi kuja kucheza hapa Tanzania, lakini pia ndiye kipa kutoka nje amekuwa na nidhamu mbovu kuliko ila amekuwa anaruka sana vikwazo. Mechi na Simba alimfuata mwamuzi kama hivyo kwenye video ya pili, akalambwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  11. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu bei maelewano

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO ILALA DSM call: 0767953873 whatspp: 0639994549
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udhalilishaji kwa Watumishi na Nidhamu Mbovu ya Msimamizi wa Maktaba ya Mkoa Iringa iliyopo chini ya TLSB

    Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini. Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Chakuwaambia tu Watanzania Yanga ni mbovu kama hujakutana nayo..usiombe ukutane nao - Masao Bwire

    yaan mzee anazeeka na ucheshi wakee leoo katufurahishaaa sana anakwambia yanga n mbovu kama hujakutana ukikutana nayo utaweza jutia kwa nn uliingia uwanjani HAHAHAA 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 DON MASAU KWENYE UBORA WAKE
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mtindo mbovu wa biashara

    Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo! Nikashangaa...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za mitandao yao ya kijamii video hii imekuwa ikisambaa sana. Video hii inamhusu muandishi wa habari kutokea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

    Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu. Maagizo...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

    Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi...
Back
Top Bottom