Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya fainali kombe la shirikisho katika uwanja wetu wa nyumbani Mkapa, hio haitoshi wakahakikisha wanamhonga...
Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora.
1. Jerry Rawlings- Ghana
2. Olusegun Obasanjo- Nigeria
3. Thomas Sankara- Burkinafaso
4. Meles...
Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi.
Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini...
Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC
Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo Tabata Kimanga opposite ofisi ya serikali ya mtaa na pia karibu na sheli ya ATN na hali hii...
Mnamo Oktoba 15, 1987, Sankara alikuwa akikutana na washauri huko Ouagadougou wakati kikosi cha wauaji, kikiongozwa na askari watiifu kwa Compaoré, walivamia majengo.
Na kushangaza compaore huyo alikuaa rafiki mkubwa sana wa sankara ambaye sankara alimuamini sana.
Sankara, akifahamu hatari...
Heshima zenu wakuu. Mada hii ni habari ya kweli kabisa. Kila mara huwa nasisitiza hapa kwamba uongo nauchukia kama ukoma. Hivyo unaposoma mada hii usifikiri ni chit chat au chai. Ni kweli kweli tupu.
Haya, twende kwenye mada sasa. Kwanza namshukuru Mungu mambo ya IT hayajanipita kando. I can...
Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni.
Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana...
Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana kwa mara nyingine tena kwa sababu jambo hili sio mara ya kwanza kuripotiwa
Mashine ya MRI (Magnetic resonance imaging) katika Hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa...
Habari za muda huu wana JF,
Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko.
Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
GT
Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete.
Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala...
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.