mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jT0078

    JamiiForums Tanzania LETA LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA. 0767953873

    Bado nanunua Laptop mbovu leta nikupe pesa Ilala - Dsm 0767953873
  2. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tumefika Mwisho wa Mapambano ya Ufisadi na Utawala Mbovu?

    Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
  3. jT0078

    JamiiForums Tanzania NJOO UNIUZIE LAPTOP MBOVU

    Lete Nikupe pesa, bei tutaelewana tu Ilala - Dsm 0767953873
  4. jT0078

    JamiiForums Tanzania Mwenye laptop mbovu nanunua

    Bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea Msumi ni mbovu sana kupelekea foleni kila kukicha

    Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi. Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya . Muda huu kuna foleni kubwa sana na njia mbovu . Mkuu wa wilaya ya Ubungo ahadi zako hazitimizi huku wananchi wanateseka
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mitsubishi Minica iwe nzima au mbovu

    Wadau natafuta hii gari pichani iwe nzima au mbovu nachukua hata kama ipo juu ya mawe.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  9. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu kama spare

    Nanunua laptop mbovu kama spare bei maelewano Nipo Ilala - Dsm 0767953873
  10. O

    JamiiForums Tanzania Epicurean paradox ni hoja mbovu ya akina kiranga na wenzie

    Kama Mungu ana nguvu zote na muweza wa yote kwanini Kuna mabaya duniani kwanini asingefanya dunia iwe ya mema tu? Vipi kama Mungu angefanya iwe ya mema tu watu kama hao wakauliza kwanini yawepo mema tu huyu Mungu muweza wa yote kwanini haruhusu mabaya ? Au tuseme kama Mungu angendoa mabaya...
  11. Tony Yeyo

    JamiiForums Tanzania KERO Agha Khan Hospital Iringa huduma zenu ni mbovu sana

    Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa. Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa mapokezi akiondoka bila kutoa maelezo yoyote kwa wagonjwa waliokuwa wakisubiri. Cha kushangaza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TiGO, sasa yas by mix ina huduma mbovu za kifedha!

    Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya...
  13. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE. 0767953873

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO. ILALA - KARUME 0767953873
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Gwajima alipiga hesabu mbovu!

    Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia, Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati...
  16. D

    JamiiForums Tanzania KERO Tanzania ya sasa barabara ni mbovu hadi wananchi tunaogopa kusafiri

    Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week. This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
  17. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    KAMA UNA LAPTOP MBOVU LETE NIKUPE PESA BEI MAELEWANO NIPO ILALA - DSM 0767953873
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  19. MO11

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Hispania ni mbovu kulinganisha ya Uingereza

    Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani. Huo muda hupati uingereza yani weekend...
  20. jT0078

    JamiiForums Tanzania KAMA UNA COMPUTERS AU PRINTERS MBOVU NICHEK NIKUSAIDIE KUONDOA UCHAFU

    Kwa wale wenye Computers au Office Machines mbovu kama Printers,Photocopy Machines,Binders,Laminations, Monitors,Laptops zipo stores tu! nichek nikusaidie kuondoa uchafu Usikae na vitu vibovu hasa vya Electronics ni hatari. Nipo Ilala - Dsm 0767 953873
Back
Top Bottom