Habari wana Jamii Forums,
Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu.
Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
Anonymous
Thread
elimu
kero
kulazimishwa
mbovu
serekali
shule
tamisemi
tuition
utaratibu mbovu
wanafunzi
wizara ya elimu
Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze.
Mvua zimenyesha sasa imekua kero kubwa sana.
Ninaandika haya kama ajira mpya lakini mwenye uzoefu mkubwa katika ufundishaji.
Nimefika kwenye kituo cha kazi shule ya sekondari na nilichokutana nacho nitofauti na matarajio ya waziri wa elimu.
Walimu waliopo kazini muda mrefu bado wameshikilia mifumo ya ufundishaji wa zamani yaani kujaza...
Kila maeneo ukipita kwenye hiyo Barabara lazima utakuta kuna maeneo ni pabovu au kuna viraka kama vyote.
Serikali imekaa kimya, ajabu imeleta Mei Mosi ifanyike Njombe, hata hivi viraka vinazibwa kwa kuwa kuna ongezeko la wageni.
Anonymous (c258)
Thread
barabara
mbovu
mei
mei mosi
mjini
njombe
njombe mjini
ugeni
Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari huko barabara ni mbovu vyombo.
Wakipeleka zinakuwa katika mazingira ya kuharibika, tunatoa wito...
BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana.
MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ?
Vitu vimewekwa...
Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi mwili iliyopita walisawawazisha baada ya siku 3 mashimo yakarudi kwa nini wasiweke kifusi tumechoka...
Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana.
Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya...
Anonymous (7765)
Thread
barabara
kero
kijiji
lindi
mbovu
mchinga
mkoani
ruvu
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke
Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo lililopo mataa ya Morogoro road na Samora street ni mbovu sana na mda wowote litauwa watu
Jengo lingine ni...
Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza.
Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi...
Anonymous
Thread
barabara
high
high school
mbezi
mbovu
mpiji magohe
sana
school
HAWA JAMANAA WANA HUDUMA MBOVU 🤮🤮🤮 ..
NIMELIPIA BUS LUXURY VIP NAULI 85,000 KUTOKA BARIADI KWENDA DAR, BUS IMEFIKA IMECHELEWA, KUINGIA NDANI KUNA JOTO AC HAWAWASHI .. VUMBI NJIANI MTU UMETOKA MZIMA UNAFIKA NA MAFUA ..
UKIULIZA KWANINI HAMUWASHI AC, UNAJIBIWA ITAWASHWA .. NA SASA TUMEFIKA...
Anonymous
Thread
best
bus
dar
dar es salaam
huduma
huduma mbovu
latra
line
mbovu
new
route
tarime
28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi anakuja.
Tulikaa tangu Saa 1 Usiku hadi Saa 5 Usiku ndio Bus linaanza kutoka tena safari ya kutoka...
Anonymous (bbf7)
Thread
dar
huduma
huduma mbovu
mbeya
mbovu
saa
saa 24
safari
wateja
1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku.
2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme...
3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao.
4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
huduma
katika
kero
mafia
mazingira
mbovu
rushwa
usafiri
yangu
Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda.
Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali...
Djigui Diara ni Golikipa Mzuri sana na bora pengine kuliko kipa yoyote wa kutoka nje kuwahi kuja kucheza hapa Tanzania, lakini pia ndiye kipa kutoka nje amekuwa na nidhamu mbovu kuliko ila amekuwa anaruka sana vikwazo.
Mechi na Simba alimfuata mwamuzi kama hivyo kwenye video ya pili, akalambwa...
Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku.
Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
Anonymous
Thread
bara
hatari
hospital
kibaha
kuelekea
kutoka
mbovu
mkoa
mkoa wa pwani
njia
pwani
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.
Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
Anonymous
Thread
chuo
iringa
iringa mjini
katika
lecturer
maktaba
mbovu
mdau
mimi
mjini
mkoa
moja
msimamizi
nidhamu
nyingi
siku
udhalilishaji
watumishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.