mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  2. Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

    Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri. Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
  3. Hivi mbona wanamichezo hatuteuliwi?

    Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
  4. S

    TANESCO mbona makato mengi sana? Anayejua ni ya nini anijuze

    Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget? ===== VAT EWURA REA TRAN FEE??? Ni nini hiki?
  5. Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  6. Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

    Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno. Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia...
  7. Tanzania National Business Council (TNBC). Mbona maneno "Tanzania" na "National" yanafanana?

    Good evening jamiiforums Mnamo mwaka 2018 mwezi wa August niliwahi kuhoji usahihi wa kisarufi katika matumizi ya maneno "Tanzania" na "National" katika kuunda jina la uwanja wa taifa kwa lugha ya kiingereza uliosomeka kama "Tanzania National Main Stadium" kwenye lango kuu. Soma Hapa>>>...
  8. KATIBA MBONA IPO?

    1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3. Mimi sipingi KATIBA MPYA, bali nataka tuonyeshane hiyo KATIBA MPYA yenyewe iko je, na Pahala ilipo...
  9. Boxing heavy weight mbona Afe Ajagba hazungumzwi sana

    Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano. Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota...
  10. Bodi ya Mikopo HESLB mbona kimya?

    Mei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao.. Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda...
  11. Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

    Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo. Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20...
  12. Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

    Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika. Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya? Kuanzia Moshi...
  13. Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

    JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda. Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar. Amehutubia...
  14. R

    Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
  15. F

    Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

    Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo. Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume? Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye...
  16. Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

    Sioni sababu ya mashabiki kulia lia. Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo. Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
  17. Ile roho ya Nyerere kutojilimbikizia Mali na kutotapanya Aliitoa wapi? Mbona baada ya yeye tunapata Marais majanga tu?

    Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa. Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
  18. Hii hela ya Field tunayotoa Watu wa Diploma mbona ni kama wizi

    Wakubwa shikamoo Tuliolingana Mambo Vipi!! Wakuu naomba nipo mwaka wa tatu, nasomea Diploma ya Clinacal Officer, CO Wiki ijayo tunaenda Field Sasa kinachonishangaza ni hizi gharama za Field tulizoambiwa tutoa Hapa chuoni kwetu kuna wanaotoa 170,000, wengine 180,000 mpaka 200,000 Hizo hela...
  19. Kati ya Viongozi hawa Tumuamini nani , mbona wanatufanya Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

    Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
  20. T

    Siasa za Tanzania zinapitia upepo mbaya sana

    Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya. Na nikiri kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…