mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli mbona ni waoga hivi? Chukueni mfano kwa hawa

    Trump, Magufuli, Bolsonaro, Hawa ni marais 3 walioibuka na style zao za uongozi zilikuwa zinafana kwa kiasi fulani. Walikuwa wakiamini wao ndio wakombozi wa nchi na wanajua kila kitu na viongozi wengine waliowatangulia walikuwa sio chochote. Wafuasi wao nao wanafanana kwa kiasi kikubwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

    Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa. Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote. Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi? Mbona mmepoa sana wakati huu?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

    Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja. Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi. Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

    Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  6. JamiiForums Tanzania Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

    Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, huku akijua wazi kuwa anaisigina Katiba ya nchi, walijitokeza wana-ccm kibao, waliopongeza hatua...
  7. JamiiForums Tanzania Kigwangalla, Msukuma, Ditopile, Lusinde mbona mko kimya hamjamsikia Rais Samia?

    Waheshimiwa wabunge Livingstone Lusinde, Hamisi Kigwa. Joseph Kasheku Musukuma, Mariam Ditopile mbona mko kimya hadi sasa hamjamsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu KUKOSOLEWA? Mbona hamjatoa tamko lolote kumuunga mkono Rais Samia kwa uamuzi wake wa kutangaza kuwaomba watu wamkosoe ili ayaone...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi mbona wachungaji wanajifanya wanajua kila kitu?

    Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

    Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
  13. JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nilipokosa kupiga nae Picha mlinicheka Mitandaoni, mbona Jana nimepiga nae White House na hamnipongezi?

    Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili...
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya kina kaka/baba acheni kelele na ukorofi

    Nilikaa kimpya sikujibu nilikuwa nawacha nisome maoni yenu kwanza halafu nikupeni update sasa. Na sasa nafunga huu mjadala na pia natumai mnaotaka mke sasa kama bado mmo sasa tulieni. Na mnao thani humu nimetowa pesa mimi sijampa hata shilingi nahisi ilikuwa ni kuchezeana akili. Huyu mwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema rudini nchini, mbona mnang'ang'ania kwa wazungu?

    Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia. Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…