WANAHARAKATI, MBONA HAMSEMI KINACHOENDELEA KWA “MWALIMU” WENU HH?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,098
Reaction score
871
Na: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026

Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.

Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.

Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.

Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”

HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.

Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?

Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.

Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.

Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.

Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”

Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.

Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃

Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃

Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃

Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃

Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃

Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃

Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃

Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀

Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.

Wanaharakati mna mtihani wa consistency.

Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.

Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.

HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.

Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.

Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃
IMG-20260831-WA0041(1).jpg
 
Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibu
 
Sasa kama yeye alionewa watu wakapiga kelele kumtetea, hapo hakuna ubaya maana watu walikua wanataka haki, na hata sasa kama mpinzani anaonewa kisa tu kuna mtu ana nguvu za kiutwala pia lazima watu wamtetee, sababu watu wanaangalia haki na sio upinzani wake
 
Hujaelewa swali la mtoa mada.

Mtoa mada anajaribu onyesha namna hata watu wa upinzani ambao tunawaona kama ni watetezi wa wanyonge ila wakipata madaraka wanaishia kutenda ya watangulizi wao.

Hali hiyo ipo hata hapa kwetu. Angalia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa. Watu hawa ni hatari kabisa ukiwapa madaraka.
Sasa kama yeye alionewa watu wakapiga kelele kumtetea, hapo hakuna ubaya maana watu walikua wanataka haki, na hata sasa kama mpinzani anaonewa kisa tu kuna mtu ana nguvu za kiutwala pia lazima watu wamtetee, sababu watu wanaangalia haki na sio upinzani wake
 
Na: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026

Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.

Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.

Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.

Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”

HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.

Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?

Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.

Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.

Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.

Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”

Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.

Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃

Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃

Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃

Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃

Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃

Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃

Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃

Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀

Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.

Wanaharakati mna mtihani wa consistency.

Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.

Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.

HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.

Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.

Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Heinde Hechilema ni mwana sisiyemu. Wakati viongozi wengine wakisusia kuhudhuria sherehe za kuiweka madarakani serikali haramu, yeye alikuja. Na kule Zambia 🇿🇲 akapopolewa kwa mawe
 
Two wrongs dont make it right.

Makosa ya HH si conclusion ya kusema upinzani haufai au chama tawala kiendelee kutawala ,kinachohitajika ni uchaguzi huru ,raia wawe na power ya kumchagua wanaomtaka kupitia sanduku la kura.
 
Maoni yako ni yapi? Kinachoendelea huko Zambia ni kitu kizuri au kibaya?
 
Watu wanasimamia haki, Hichilema alitetewa maana alikuwa ananyimwa haki, anapotenda upuuI sasa baada ya kupata madaraka atatetewa vipi?
 
Na: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026

Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.

Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.

Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya wapinzani na wanaharakati Tanzania walimshangilia sana.

Maria Sarungi Tsehai kwa mfano, aliandika: “Safi sana HH, show them how it’s done!”

HH akaonekana kama mfano wa mwanasiasa aliyepambana na dola na hatimaye akaingia Ikulu. Lakini leo, akiwa Rais, Brian Mundubile, mpinzani wake, amefunguliwa mashtaka ya uhaini.

Hapo ndipo tunapaswa kujiuliza: je, Principle bado ni principle wakati “mtu wetu” anapokuwa upande wa dola?

Tusichanganye mambo: Uhaini si kosa maalum kwa wapinzani, wala upinzani si kinga dhidi ya jinai.

Mtu yeyote anayefanya kitendo kinachokidhi vigezo vya kisheria anapaswa kuchunguzwa na kama ushahidi upo, kushtakiwabila kujali cheo chake.

Lakini pia mashtaka si hukumu. Mundubile anapaswa kupatiwa 'due process', Serikali iweke ushahidi wake mezani na mahakama iamue.

Hii ndiyo maana ya rule of law: si “mtu wangu akifanya ni haki, mtu wao akifanya ni jinai.”

Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kumtetea mtu kwa sababu tu ni mpinzani; anatakiwa kutetea haki yake kwa sababu ni haki. Leo unaweza kumtetea mpinzani kwa sababu ni mpinzani, kesho akawa Rais na akamfungulia mpinzani mwingine mashtaka yale yale uliyokuwa ukilalamikia.
Hapo ndipo unagundua kama ulikuwa unatetea principle au ulikuwa unatetea upande.

Tuwatazame akina John Heche, Maria Sarungi, Hilda Newton, Tito Magoti, Twaha Mwaipaya na wengine waliowahi kuitazama Zambia ya HH kama mfano wa kisiasa. 😃

Tunawauliza, Mnaionaje Zambia ya leo? 😃

Mnamuonaje HH, yule ambaye mwaka 2017 alijikuta akikabiliwa na uhaini akiwa mpinzani, leo akiwa Rais na mpinzani wake akikabiliwa na mashtaka hayo hayo? 😃

Je, kama Serikali ina ushahidi, mnaunga mkono mchakato wa sheria? 😃

Kama mnaona kuna matumizi ya dola kisiasa, mbona hamsemi kwa nguvu ile ile? 😃

Na kama bado mnachunguza, semeni. 😃

Msitutazame tu kama mlivyokuwa mkituambia “Look at Hichilema.” 😃

Tumemuangalia. Sasa tunawaangalia nyinyi. 👀

Kwa sababu hili si suala la kumpenda au kumchukia HH, wala kumpenda au kumchukia Mundu.

Wanaharakati mna mtihani wa consistency.

Wanaharakati msiwe mashabiki wa wapinzani; kuweni mashabiki wa haki.

Wanaharakati wasimtete mtu kwa sababu ana cheo cha mpinzani, bali kwa sababu hoja yake inastahili kutetewa na wasiishambulie Serikali kwa sababu tu ni Serikali, bali pale inapokiuka principle wanazodai kuamini.

HH wa 2017 alistahili haki. Mundu wa 2026 pia anastahili haki.

Na kama kuna ushahidi wa uhaini, sheria ichukue mkondo wake.

Sasa swali ni moja tu: Je, principle zenu ni principle kweli au zinabadilika kulingana na nani anakidhi maslahi yenu ya kufanya harakati? 😃😃View attachment 3660608
Ahsante sana kwa kuijua Imani yangu kuwa kumbe JF Bado Kuna watu wenye akili mno. Wasiwasi wangu tu ni kwamba unaweza kutukanwa na watu flani humu waliojimilikisha/milikishwa jukwaa hili kwa ajili ya harakati zao ambazo zinachalenjiws vizuri sana na maswali Yako Leo.
 
Watu wanasimamia haki, Hichilema alitetewa maana alikuwa ananyimwa haki, anapotenda upuuI sasa baada ya kupata madaraka atatetewa vipi?
Heheheheee!
Bado hujamuelewa mtoa mada. Anasisitiza kitu hicho hicho. Msome tena🤣🤣🤣🤣
 
Heinde Hechilema ni mwana sisiyemu. Wakati viongozi wengine wakisusia kuhudhuria sherehe za kuiweka madarakani serikali haramu, yeye alikuja. Na kule Zambia 🇿🇲 akapopolewa kwa mawe
Ndo mchango wa nyumbu kwenye mada yenye sifa ya great thinking 🤔 🤔. JF imekuwa hasara siku hizi.
 
Heheheheee!
Bado hujamuelewa mtoa mada. Anasisitiza kitu hicho hicho. Msome tena🤣🤣🤣🤣
Kwani nimemkosoa mleta mada? Nimemwambia mtu aliye nje ya haki ni mpuuzi kama mpuuzi mwingine. Yeye anataka kufundisha wapinzani jinsi ya kutetea mambo. Na lengo lake hasa ni kutaka kuonyesha hata wapinzani hawatatenda haki wakipata madaraka, kisa huo upuuzi wa Hichilema.
 
Africa aijawa tayali kwa Siasa za vyama vingi

Ndio kusema vyama vya Upinzani Wanaviiita ukombozi❗️

pengine wanamaanisha vya kumtoa Dictator A
ili kumwingiza Dictator B

Leo ndani ya Chadema yenyewe ukikichunguze kile kikao chao cha juzi
Utaelewa
Neno Demokrasia linatumika tu kuombea Ugali lkn kiundani
ni Madictator wamekubuhu kimatendo tayali 👈

Waoga sana wakuangushwa tangu ndani ya vyama vyao‼️

Kwanini Unaogopa kuangushwa manake Ndani ya Chama kwenyewe umeshindwa kuwafanya wakuamini ‼️

Sasa wakituongoza ni
hatari sana👈

Zambia ipo chini ya Upinzani sasa ni zaidi ya miaka 30+ lkn bado Demokrasia ipo juu ya Mawe❗️

Mtu mweusi ni Dictator wa
kuzaliwa
Akitafuta fursa ya kuaminiwa ndipo utumia maneno mazuri mazuri ya Kidemokrasia na HAKI 👈

kutuzuga na akipata misukosuko kidogo na Watawala mbio kwa Wananchi kulialia kwamba anaonewa sio Haki kutendewa vile sio Demokrasia 🫎🫎

Sasa nanyinyi mkiwa Watawala ni yaleyale %100

Ndiomana nasifu mitazamo ya Watanzania kuendelea na mishe zao badala ya kuangaika nakuwahurumia Wanasiasa wa Kiafrika ✍️
 
Sehemu ya pili ya maelezo yangu

Waafrika wenyewe tunakosea kutafuta viongozi wa kutuongoza
Uyo Rais Heinde Hechilema
Kapitia mateso makubwa pale Zambia

Sasa mtu kama uyo kwa kukuza Demokrasia yetu Africa hakupaswa kuwa Rais wa Zambia tena

Manake moyoni mwake anavidonda vingi sana‼️‼️

Kuweza kuwaongoza Wazambia pasi nayeye kuwasumbua wenzie

Mbegu bora ya Demokrasia upandwa na viongozi wasiopitia misukosuko yoyote wapo free uyu ndio anaweza kujua nini kufanya ili Demokrasia ikue zaidi

Lkn mnampeleka Ikulu kiongozi kashafungwa miaka 10 mi5 unategemea yeye aje kuwa bwenge wa kuheshimu Demokrasia!

Pili
Upande mwengine Africa inakwama Kidemokrasia kutokana na mitazamo ya Wananchi wenyewe

Wananchi ili wakwamini mpaka waakikishe japo umefungwa umepigwa Uso wako japo umevimba yani wajue umeumizwa pengine mengine wewe kiongozi unaficha‼️

apo watakwani wewe ndio Mkombozi wao🫎🫎🫎‼️

Manake kiongozi ikiwa ujaguswa Tako wewe sio Mkombozi👈

bado ujaiva wanakuona ni sehemu ya Watawala❗️

kwanini hupitii misukosuko hufai kupelekwa
Ikulu 🫎👹👹👈
 
CCM imeunda kile chombo cha Maadili
Lengo kuwadhibiti Wanasiasa wa CCM ikiwa wamekiuka matendo ya maadili
Lengo kuu Wanasiasa wao wasipitie misukosuko na Mapolisi kuwalinda na Majeraha ya visasi kwa wenzao uko mbele ya Safari 👈

Maadili wachunguze tuhuma zako wajue nini kimetokea umeonewa au laah 👈

Mwana CCM yoyote kwao ni kiongozi wa baadae kulindwa tangu
mwanzo
Ukiwa wewe wanaccm umepitia Misukosuko ya Mahakamani kipigo cha Mapolisi kwa kosa lako!!

ujue pia unanafasi ndogo kuja kuaminiwa kushika nafasi kubwa

Makosa yako yale yanaishi kwa mifumo ya CCM mpaka unakufa
Yumkin na watoto wako wasiaminiwe kushika nafasi
kubwa ✍️

Mtu kama mzee Mbowe mh Lissu hata waamie
CCM hawawezi kushika
nafasi kubwa 👈

Hata wale waliokuwa wapinzani na sasa ni wanaccm ❗️

kama washawai kupitia misukosuko mikubwa wajue ndani ya CCM Watapingwa kupewa
nafasi kubwa✍️
 
Back
Top Bottom