mboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simiyu: Watoto wawili wafariki kwa kula mboga yenye sumu, saba wanusurika kifo

    Watoto wawili wa Familia ya Tandula Ngasa, katika Kijiji Cha Mwakiloba Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamepoteza maisha na wengine saba kunusurika kifo baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Akiwa kwenye mkutano wa Jukwa la tatu la Ushirika Mkoa wa Simiyu ambapo alikuwa mgeni rasmi, Mkuu...
  2. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani kwa muda mrefu kwenye friji bila kuungua na barafu au kuoza?

    Heri ya Pasaka Wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi? Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Mboga za kabichi (Cabbage) sio nzuri kwa watu wenye Ugonjwa wa Goita

    Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita. Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake. Nawasilisha.
  4. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dodoma niliwahi kuchakata wanawake mtaa mzima kisa mboga za majani, waume zao wakashikwa wivu wakafyeka bustani yangu usiku

    Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu. Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
  5. JamiiForums Tanzania Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

    Infaltion inafanya maisha yanakuwa magumu sana. Athari kubwa zinakuwa upande wa lishe. Si vema kupata utapiamlo na hali unaweza solve kwa kuotesha mbogamboga hapo nyumbani. Tushirikishane juu ya mbogamboga na vyakula vingine ambavyo mtu anaweza kuzalisha nyumbani. 1. Kisamvu. Hapa nazungumzia...
  6. JamiiForums Tanzania Faida ya mboga za majani kwa afya

    Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika...
  7. JamiiForums Tanzania Faida na tahadhari za mboga za spinach kwa afya

    Spinach ni mboga yenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. Baadhi ya virutubusho vinavyopatikana kwenye mboga hii husaidia mwili kusafirisha vizuri hewa ya Oxygen, kutoa kinga dhidi ya magonjwa, kuongeza uzalishwaji wa damu pamoja na kuboresha afya ya macho, ngozi, nywele na mifupa. Pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Upishi wa Wali, Samaki wa Nazi na Mboga

    Habari za Jumamosi wakuu, natumai mpo salama. Leo nawaletea mapishi ya wali, samaki wa nazi na mboga. Ukipenda kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine. Turudi kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

    Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu. Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mboga za majani zinazolimwa Dar zina sumu inayochangia matatizo ya nguvu za kiume, cancer, bawasiri, vidonda vya tumbo, n.k?

    Unaweza ukawa unakula ugali na mboga za majani na ukajiona unakula chakula chenye afya kumbe uhalisia ni kwamba unajiongezea sumu zaidi mwilini. Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

    Tanzania hii ukitoa Maharage na dagaa unaweza kusababisha sintofahamu.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

    Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa hedhi na kuchuma mboga za matunda

    Kuna huu msemo . Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho. Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya hizo mboga akiwa kwenye siku zake. Kwa hiyo kama ni kweli ndo ivo kuna uhusiano gani kati ya hedhi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Kituo cha mbegu za kutoka anga ya juu chazalisha mbegu zilizoboreshwa za mboga na matunda

    Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu. Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...
  16. JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wa sasa hawajui kununua mboga sokoni

    Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli. Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
  17. JamiiForums Tanzania Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

    Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga. Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  19. JamiiForums Tanzania Aamua 'Kukojolea' Kitoweo (Mboga) baada ya Kunyimwa Ugali (Chakula) makusudi na wana Familia wake

    Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake. Yaani Mimi ndiyo Baba...
  20. JamiiForums Tanzania Mayele anatafuta mboga, viongozi Yanga jitahidini kutafuta mchele

    Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani Mayele anaendelea kutafuta mboga hili siku ya mwananchi day mashabiki wakale uwanjani, mpaka ligi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…