mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

    Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!. Malaika wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama mbinguni

    Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote. Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏 Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda

    Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda. Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe. Mimi...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

    Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kimeumana! Shetani ashtakiwa mahakamani kwa kuiba miziki ya mbinguni

    Hii kesi utaifurahia sana hata kama hujawahi kuhudhuria International Courts of Law! Kwa wale ambao Kiingereza ni msitu, kuna muhtasari wa kesi kwa Kiswahili katika Post #2 =========== IN THE SUPREME COURT OF E Case No. Eternal-777-E THE PEOPLE OF THE KINGDOM OF LIGHT -Versus- LUCIFER A.K.A...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
  8. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

    Kama Mungu anajua Future yako Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni? Na Future inaweza ikabadilika?
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu: Amesema Yeye Pekee Ndiye Njia ya Kutupeleka Mbinguni. Wanaopita Njia Nyingine Wanaenda Upotevuni

    Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23). Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maneno huumba? Kauli ya channel ya vichekesho mbinguni. Je wachekeshaji na wafanya vituko kutaka kujazana bungeni ndio mwanzo wa taifa la vituko?

    Hamjambo Wote! Kuna msemo na Imani kuwa kauli na maneno ya mara kwa mara huumba. Kisaikolojia ni kweli. Kujitamkia au kutamkiwa maneno yaleyale mara kwa mara huyafanya yatokee. Na kuwa kweli. Kwa sababu maneno huathiri mfumo wa ufahamu, kufikiri, na hatimaye mtazamo. Je watu kusema taifa kuwa...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Mbinguni Hakuna mpira, Okoka Ndugu achana na Mambo ya Dunia ni ya Kupita - Mpira ni kwa watu wanaowaza ya Dunia waliopotea

    Mbinguni hakuna mpira! Ndugu yangu, natamani leo ujifungue macho. Mambo haya ya dunia ni ya kupita — ni kivuli tu kisicho na maana ya milele. Mpira, starehe, burudani… haya yote ni mtego wa shetani kuwapumbaza watu wasimtafute Mungu. Ndugu, leo nakusihi — achana na mpira! Badala ya kutumia...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Askofu Josephat Mathias Gwajima (Jasusi la Mbinguni)

    Jina: Josephat Mathias Gwajima Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970 Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza Uraia: Mtanzania Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima Watoto: Watatu Lugha: Kiswahili, Kiingereza Elimu 1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Jasusi la Mbinguni Gwajima alionekana kwenye video ya waumini wake waliosali barabarani?

    Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.
  16. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hata baada ya hili sakata la "hatuchezi tunacheza" tusitarajie jipya la maana labda kama hiyo bodi itatoka mbinguni

    Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo. Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa pointi patachimbika ni nini litaleta utofauti huko siku za usoni iwapo moja ya timu hizi itafikia kupewa...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Picha ya Siku: Jasusi la Mbinguni

    Ipe caption
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na kichwa cha habari hiki, Jasusi la mbinguni lamkimbia mama

    Habari yenyewe inaanza kwa kusomeka hivi:- "Ktk hali isiyokuwa ya kawaida, jasusi toka mbinguni lamkimbia mama. Ni maajabu na kweli, lkn yametokea. Jasusi toka peponi laufyata kwa mwanamke. Japo jasusi liliahidi kuchafua hali ya hewa mpk moshi utoke endapo watekaji wataendelea...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

    Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025. Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Gwaji boy: Jasusi la mbinguni ni mtu mwenye Kujiamini sana

    Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha. Ni chuma kilichomdhibiti Dr. Slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na...
Back
Top Bottom