mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi Jiji la Mbinguni lilivyo

    Henoko hakuwa mtu wa kawaida. Alikuwa mtu wa Mungu, aliyenena na kuenenda kwa haki katika kizazi kilichozama kwenye giza la dhambi. Lakini kinachovutia zaidi si maisha yake duniani, bali safari yake ya ajabu ya kupaa hadi mbinguni safari ambayo haikuwahi kusimuliwa na mwanadamu mwingine kabla...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  5. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi. Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbinguni kuna makao mangapi

    Mbinguni kuna makao mangapi Wakati Bwana Yesu alipokaribia kuondoka duniani, alisema: Yohana 14:1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. 3 Basi mimi nikienda na...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema diyo wanaostahili

    Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
  11. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

    Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu. Kila...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Udafisi: Mbinguni ni wapi endapo binadamu tukifa tunazikwa Ardhini?

    Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

    Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

    Waswahili husema: "Tembea uone!" Ukikaa sehemu moja tu huwezi kujua yanayoendelea katika sehemu nyingine duniani. Jamani kuna watu wako "serious" na mambo ya rohoni. Hivi majuzi, nilipata fursa ya kusali kwa siku kadhaa katika Kanisa fulani lililoko nchi moja isiyo na vurugu vurugu. Kanisa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  17. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Imefikia hatua ripoti ya CAG inatoka wala hata wananchi hawashtuki. Nchi yetu inaelekea wapi?

    Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali haichukui hatua yoyote zaidi ya kuangalia upande wao. 1. UJENZI WA SGR. wamewekeza siasa sana kwenye...
  18. Codehood

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

    Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
  19. S

    JamiiForums Tanzania biblia imesema wazi mtu ambaye sio mkristo haendi mbinguni. vipi kwa upande wa pili

    Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake: 1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya Wokovu Yesu alisema: "Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi"...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Njiapanda ya mbinguni?

    Katikati ya Ureno, kuna muundo wa miamba ambao unakinzana na matarajio yote ya kisayansi.. Upinde wake wa kustaajabisha na usio na dosari unazua swali—ni nini hasa kinaendelea hapa? Je, hii ilichongwa na nguvu tatanishi ya asili, au kuna kitu kibaya zaidi kinachoendelea hapa? Taswira ya...
Back
Top Bottom