mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mimi sifanyi maombi yoyote zaidi ya kusali sala ya baba yetu uliye mbinguni kila baada ya lisaa limoja

    mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba yetu uliye mbinguni na huwa nasubiri ifike saa fulani kamili..07;00,08;00 n.k kwa hiyo kwa siku...
  2. JamiiForums Tanzania Kama ulipozaliwa ulikuwa hujui unatoka wapi kwanini basi tukifa tunaambiwa tunaenda mbinguni nk?

    Kwamba tunajua tunakokwenda na si tuliko Toka Yaan mnaijua kesho msioiona na sio Jana tulioitoka?
  3. JamiiForums Tanzania UZURI MBINGUNI HAKUNA MPIRA NA MPIRA NI DHAMBI

    Kwenye mechi inayoendelea sasa kati ya Dodoma Jiji na Simba Sc ikiwa simba hatopata goli na kufuzu kwenye haya mashindano nitatangaza rasmi kuachana na masuala ya mipira ikiwa ni kufatilia matokeo wala kuangalia zikiwa mubashara. Uzuri ni kuwa hivi karibuni nimegundua kuwa mbinguni hakuna mpira...
  4. JamiiForums Tanzania Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

    Kama raha za muda mfupi hapa duniani zinafurahisha moyo namna hii... basi ni dhahiri tutakapoingia mbinguni tuta-enjoy sana sana! Tuta-enjoy kwa sababu huko uzima ni wa milele. Huko hakuna vita wala magonjwa, wala kilio wala kifo. Mbinguni hakuna kuzeeka, hakuna kula kwa jasho, hakuna ajali...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi na Mungu wa Mbinguni upendekeze mtu wa kunyakuliwa MAWINGUNI utampendekeza nani?

    Ni swali la kawaida. Avoid negative interpretation!!! 1.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

    Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano. Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD...
  8. JamiiForums Tanzania Mbinguni kuna utata

    Kwa imani mbingu IPO. Lakini mbingu ni jambo lililojaa utata mtupu. Mbinguni tunakwenda baada tu ya kufa ama tutakwenda baada ya ufufuo siku ya kiama. Na jee tutakwenda na miili yetu hii au tutapewa miili mipya? Hivi mtaa wa jehanam nao upo mbinguni ama jehanam tunakutana nayo wapi? Na...
  9. JamiiForums Tanzania Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake? Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
  10. JamiiForums Tanzania Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako?

    Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako ?
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania kilio chenu tayari kimesikika duniani na mbinguni, futeni machozi sasa, ila fanyeni yafuatayo

    Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mchungaji: Hatutaacha kukemea maovu sababu ni suala la mbinguni siyo la kisiasa.

  14. JamiiForums Tanzania Samia na genge lake wamekataliwa duniani na mbinguni

    Unaweza sema ni kimavi au nukusi? Yaani yeye na genge lake wote wamekataliwa na Watanzania ni aibu kweli! Ilikuwa page ya yanga leo huyo chawa wa Samia baada ya kupositiwa.
  15. JamiiForums Tanzania Donald Trump: Sidhani kama nitaenda Mbinguni

    Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika amesaidia maisha ya watu wengi. Trump alisema hayo akijibu swali la mwandishi wa habari aliyemuuliza...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya watanzania wanatamani kufika Mbinguni

    Asilimia 70 ya watanzania wanatamani kufika Mbinguni. Niongeze sautiii
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…