Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,506
Reaction score
107,356
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).

Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k

Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.

Surah Al-A'raf (7:8-9)
Na Siku hiyo kipimo kitakuwa kwa Haki. Basi watakao kuwa na uzani mzito, hao ndio watakao fanikiwa. Na watakao kuwa na uzani khafifu, basi hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao kwa sababu ya kuzipinga Ishara zetu.

Hivi hapa vipimo vingine vya Uislamu
1. Surah Al-An'am 6:160
2. Surah Al-Baqarah, 2:261
 
uliwai kuona wapi au kuskia wapi dini imempeleka mtu mbinguni? anza kwa kuweka tofauti ya kanuni za imani ya matendo na dini.

mana kuna watu wasio na dini ila huishi kwa matendo Safi na mema kuliko hata walio kwenye hizi dini zetu tunazozifuata.
 
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).

Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k

Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
Hata kumuingilia mke wako katika lengo la kutimiza haja zake unapata thawabu.

Naam kufanya tendo la ndoa na mkeo halali ni thawabu tosha.

Raha iliyoje kuwa muislamu.
 
Jombaa dini haikupeleki mbinguni bali matendo yako, hata hivyo nani kakwambia ukifa unakwenda mbinguni, hakuna cha mbingu wala nini wewe tafuta pesa uishi vizuri duniani.
 
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).

Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k

Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
imani ya kipuuzi sana hiyo. Huo ndio upagani na ukafiri wenyewe
 
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).

Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k

Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.
Nilishangaa sana eti ukifunga unasukumwa mbali na jehanamu maili 1000.

Ukiwa na sigida eti ni tochi ya jehanamu.🚮😅
 
Uislamu umenyooka kwa vipimo kama rula, hakuna mbambamba.
 
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni).

Ukitoa sadaka unapata thawabu, ukifuatisha Sunna unapata thawabu, ukimtendea mtu wema unapata thawabu, ukifungua kwa kula tend na maji unapata thawabu, ukienda kuhiji Mecca unapata thawabu n.k

Changamoto kubwa ni kujua unahitaji points ngapi kukutosha kuingia Jannah Firdausi.

Surah Al-A'raf (7:8-9)
Na Siku hiyo kipimo kitakuwa kwa Haki. Basi watakao kuwa na uzani mzito, hao ndio watakao fanikiwa. Na watakao kuwa na uzani khafifu, basi hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao kwa sababu ya kuzipinga Ishara zetu.

Hivi hapa vipimo vingine vya Uislamu
1. Surah Al-An'am 6:160
2. Surah Al-Baqarah, 2:261
Uislam hauhubiri maisha mapya ya mbinguni unahubiri maisha mapya ya akhera.
Huoni hivi ni vitu viwili tofuati .?
 
Akhera ya Waislamu ndio inamaanishwa huko huko mbinguni kwa Wakristo.
 
Akhera na mbingu ni vitu viwili tofauti , wakati Akhera kitu kikubwa itakuwa kula raha na mabikira Mbinguni itakuwq kuimba na kutukuza wewe huoni hii tofauti iliyopo?
 
Back
Top Bottom